Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Video kutoka India ya Muhindi aliyechukua melody na beat ya wimbo wa Dully Sykes.

$
0
0

Kitambo kidogo tulikua tukizisikia nyimbo Wasanii wa bongo wakidandia beat na melody za nyimbo kutoka kwenye mabara nje ya Afrika sanasana Marekani ila leo tunayo video ya Msanii wa India aliyechukua melody na beat ya wimbo wa ‘Utamu’ wa Dully Sykes, unaweza kuitazama video yenyewe hapa chini na yote haya ameyafanya kwa ruhusa ya Dully Sykes .

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles