Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Star wa ‘series’ ya ‘Empire’ kushtakiwa na mtalaka wake.

$
0
0

Terrence Howard ni muigizaji aliyejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuigiza tamthiliya inayopendwa duniani kwa sasa ‘Empire’ akitumia jina la Lucios. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, inaonekana majanga na mizengwe mingi inaendelea kumuandama na sasa kuna hili la kutaka kushtakiwa na mkewe wa zamani Michelle Ghent kufungua kesi kutokana na kipigo alichokuwa akipokea. Mwanamke huyo anadai mwaka 2013 wakati wakiishi Costa Rica, Terrence alikuwa akimpa kichapo cha ‘mbwa mwizi’ akimkaba shingoni, kumbamiza bafuni na kumfanyia vitendo vingi vya kinyama. Michelle anafuata sharia za baraza la kijinsia ili kupata utaratibu mzuri wa kuendesha kesi hiyo.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Latest Images

Trending Articles



Latest Images