Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Adam Peaty atwaa medali ya dhahabu

$
0
0

Mwingereza Adam Peaty ametwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka bingwa katika michuano ya dunia ya mchezo wa kuogelea Peaty ameshinda katika mbio za mita mia kwa kutumia dakika 58.52 huku Van der Burgh aliyeshika nafasi ya pili akitumia muda wa dakika 58.59. huku Ross Murdoch akishinda medali ya shaba Siobhan-Marie O’Connor nae alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 200 ya mchezji mmoja mmoja na kuwa mwingereza w kwanza kutwwa medali Mashindano haya yanayoandaliawa na chama cha mchezo wa kuogelea duniani Fina yanafanyika katika mji wa kazi huko Urusi.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles