Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Homa ya MERS yasambaa Korea Kusini

$
0
0

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa mlipuko wa homa ya Middle East Respiratory Syndrome au MERS nchini Korea Kusini na mkubwa na huenda kesi zaidi zikaripotiwa. Baada ya uchunguzi wa wiki moja shirika la WHO linasema kuwa madaktari nchini korea kusini ambao hawakuhufahamu ugonjwa huo huenda walichangia ugonjwa usambae kwa haraka . Utawala nchini korea kusini unasema kuwa watu 12 wameambukizwa ugonjwa wa MERS huku 14 wakijulikana kuaga dunia. FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Latest Images

Trending Articles