Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Mazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru

$
0
0

  Mke wa marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Uhuru akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam       Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Leornad Thadeo akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam    Baadhi ya jamaa wa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakitoa heshima za mwisho wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam     Mke wa marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho wakati wa mazishi ya mume wake ambaye alikuwa ni Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa, mazishoi hayo yalifanyika jijin Dar es Salaam leo (jana). Wa kwanza kutoka kushoto ni mtoto wa marehemu   Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wa kwanza kushoto   akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam     Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Barnabas Ndunguru wa pili kutoka kushoto   akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam    Mwakilishi kutoka Ubalozi wa China nchini Lin Chiyong akimpa pole mfiwa ambaye ni mke wa marahemu Eng. QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uhuru. : Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika mazishi ya Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam 

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles