Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

ZEC yaendesha semina kwa watendaji wa vituo vya ugawaji wa shahada za kupigia kura

$
0
0

Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Magharib  Ndg Ali Rashid Suluhu  akiwasilisha mada katika mafunzo ya watendaji wa vituo vya Ugawaji wa Shahada za kupigia Kura, mafunzo ambayo yalifanyika ukumbi wa Skuli ya Mwanakwerekwe ”C”  tarehe 26/09/2015 Washiriki wa semina ya watendaji katika vituo vya Ugawaji shahada za kupigia Kura wakimsikiliza kwa makini Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Magharib  Ndg Ali Rashidi Suluhu  wakati akiwasilisha mada katika mafunzo hayo ambayo yalifanyika ukumbin wa skuli ya Mwanakwerekwe ”C”  tarehe 26/09/2015 . Mafunzo kama hayo yalifanyika kwa wilaya zote za Unguja na Pemba.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles