Sterling naenda zangu Man City
Uongozi wa klabu ya Manchester City umekubaliana na Liverpool dili la kumsajili mshambuliaji kutoka nchini England, Raheem Sterling. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Sky Sports, viongozi wa...
View ArticleHusqvarna Announces Return To Dakar Rally with a two-rider lineup
Since Swedish Husqvarna Motorcycles has come under the umbrella of the Austrian KTM, there has been nothing but bells and whistles for the company…. Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleEmmanuel Mbasha Akutwa na Hatia ya Kesi ya Ubakaji
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imesema mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la ubakaji linalomkabili. Katika shtaka hilo Mbasha...
View ArticleTukio la Kituo cha Polisi Kutekwa: Viongozi Wa Dini Wacharuka…….Wamtaka Rais...
VIONGOZI mbalimbali wa dini nchini wameandaa maandamano kwa lengo la kumuona Rais jakaya kikwete ili kumuomba alifanyie mabadiliko makubwa Jeshi Polisi. Mabadiliko hayo ni pamoja na kubadili...
View ArticleMwenyekiti ACT-Wazalendo Azomewa Ukerewe
KATIBU wa Chama cha ACT- Wazalendo Mkoa wa Mwanza, Robart Gwanchele, juzi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi kumzomea wakati akihutubia mkutano wa hadhara mjini Nansio....
View ArticleNEC Yatangaza Mjimbo Mapya 26 ya Uchaguzi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo,...
View ArticleGuy Martin To Attempt The Land Speed Record Aboard The Triumph Rocket III...
Road racer known for his appearance at the Isle of man TT aboard the Tyco BMW S 1000 RR as well as being a quirky TV show host, British racer Guy… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleRais Buhari awatimua kazi wakuu kadhaa wa kijeshi Nigeria.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari,amewafuta kazi wakuu wa jeshi la angani,wanamaji na nchi kavu. Inaaminika kuwa rais huyo mpya wa Nigeria amewatimua maafisa hao wakuu jeshini kwa ‘kushindwa’...
View ArticleUKAWA kuvunjika? naibu katibu mkuu CUF kaandika mtazamo wake
Tangu juzi kumekuwapo na tetesi kuwa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, huenda umoja huu ukasambaratika kwa kile kinachoelezwa kutokukubaliana kwa mgawanyo sawa wa majimbo kuelekea...
View ArticleMagufuli Atambulishwa Zanzibar……..Aahidi Kufuata Nyayo za Nyerere na Karume
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo akifanikiwa kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania, ataongoza nchi kwa kufuata nyayo za waasisi wa Taifa, Baba wa Taifa, hayati...
View ArticleMadereva Wapanga Kugoma Tena
MADEREVA nchini wametishia kufanya mgomo kwa mara nyingine kuanzia wiki ijayo na kwa muda usiojulikana iwapo serikali kupitia kamati iliyoundwa kushughulikia matatizo yao haitawaita na kuongea nao...
View Article.Bosi wa Kampuni ya UDA Kukamatwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka...
View ArticleChadema yapangua ratiba fomu za ubunge, udiwani
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kupangua ratiba ya awali ya uchukuaji fomu za ubunge na udiwani kwa wanachama wake, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majimbo...
View ArticleMsako wa ‘Magaidi’ Yaliyovamia Kituo Cha Polisi Stakishari Washika Kasi
SIKU moja baada ya jeshi la polisi kuwaaga kwa heshima za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa kazini katika kituo cha Stakishari, Ukonga, Dar es Salaam, jeshi hilo limeongeza...
View ArticleMbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi ), Moses Machali Ajiunga na Chama cha...
Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi ), Moses Machali amejiunga na Chama cha ACT – Wazalendo. Naibu Katibu Mkuu wa ACT – Wazalendo, Msafiri Mtemelwa alisema...
View ArticleLowassa KUKATWA: Nape Amjibu Kingunge…….Amtaka Afanye Lolote Analotaka
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemtaka mwanasiasa mkongwe, Kingunge-Ngombale Mwiru kufanya anachotaka kufanya. Juzi Kingunge alijitokeza hadharani na kuzungumzia na waandishi wa habari huku akiwaambia...
View ArticleAunt Ezekiel Awatibua Waislam
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo...
View ArticleMsanii Ester Kiama Amwaga Machozi baada ya Kudaiwa ana UKIMWI
Msanii anayekuja kwa kasi katika anga la filamu, Ester Kiama amejikuta akiangua kilio kufuatia madai yanayoenezwa kuwa ana ‘ngoma’. Taarifa ya ‘kuungua’ kwa staa huyo zimekuwa zikisambaa kama moto wa...
View ArticleWema amwangukia Kajala, ataka wamalize tofauti
Msanii wa filamu nchini na Mkurugenzi wa Endless Fame Production, Wema Sepetu, amedai kuwa yupo tayari kumaliza bifu lake na msanii mwenzake Kajala Masanja, baada ya kutokuwa katika maelewano mazuri...
View Article