Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Honda Unveils Neowing Concept Ahead Of Tokyo Motor Show 2015

After Piaggio introduce the world to the concept of a three-wheeled leaning vehicle with the MP3, manufacturers from the land of the rising sun are… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basil Mramba na Daniel Yona Wapunguziwa Kifungo Cha Mwaka Mmoja Kati Ya...

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana Oktoba 2, 2015, ilitoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri wastaafu,Basil Mramba na Daniel Yona  ambapo Jaji Projest Rugazia, alikubaliana na hoja kwamba kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege ya JWTZ yaanguka, marubani wapotea

NDEGE ya mafunzo ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), imepata ajali ikiwa na marubani wawili katika eneo la Silversands, Visiwa vya Bundya, katika Mwambao wa Bahari ya Hindi Kaskazini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa...

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi la vijana kubaki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana sita wa JKT Bulombora, Kigoma Wafariki dunia Baada ya gari la Jeshi...

VIJANA sita waliokuwa katika mafunzo ya kijeshi ya kujitolea katika kikosi cha 821 JKT Bulombora mkoani Kigoma wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya gari iliyotokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Ataja Vipaumbe vyake 13 Ndani ya Siku 100.

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo 13 atakayoyafanya ndani ya siku 100 iwapo atachaguliwa kuwa Rais, huku akisema “atawakata kilimilimi” wanaombeza kuwa hawezi kuondoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Wakanusha Karatasi za Kura Zilizompa Alama Ya VEMA Magufuli Kukamatwa...

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha taarifa zinazodaiwa kuandikwa katika mtandao mmoja wa kijamii, zikidai kukamatwa kwa baadhi ya watu katika kituo cha polisi wilaya ya Masasi mkoani hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Aongoza Kikao cha Tisa cha Baraza la Taifa la Biashara Ikulu...

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasili katika viwanja vya Vuga Zanzibar kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar.   Wanachama wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Kampeni Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Shein Gando Wete Pemba.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Ndg Vuai Ali Vuai, wakati akiwasili katika viwanja vya mpira Gando Wete Pemba kuhudhuria mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Mch. Christopher Mtikila afariki kwa ajali ya gari mkoani Pwani

Mwenyekiti wa chama cha siasa (Democratic Party – DP) nchini Tanzania,  Mchungaji Christopher Mtikila  amefariki dunia alfajiri ya leo katika ajali ya gari iliyotokea kwenye kijiji cha Msola mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Burundi: zaidi ya watu saba wauawa Ngagara

Christophe Nkezabahizi mpiga picha wa runinga ya taifa ya RTNB tangu mwaka 1984, ameuawa na mke wake na watoto zake wawili (mmoja mwenye umri wa miaka16 na mwengine 14), Oktoba 13, 2015 Bujumbura. Na...

View Article

Watch the Husqvarna 701 Supermoto Go Wild [Video]

Husqvarna teased us with their soon-to-launch 710 Supermoto a while back where the new KTM 690-engined super motard was shown sliding and doing all… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti:Thomas Sankara aliuwawa kinyama

Thomas Sankara Matokeo ya ukaguzi wa kimatibabu uliofanyiwa mabaki ya mwili wa aliyekuwa rais wa Burkina Faso marehemu Thomas Sankara miaka 28 baada ya kuuawa,yanaonyesha kuwa mwili wake ulijaa risasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania, Uganda zasaini MoU kutekeleza usafirishaji mafuta ghafi

Kutoka Kushoto – Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Nishati na Madini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dunia yahimizwa kuwajibika kwa ajili ya amani

  Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma: Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru leo...

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo  Mheshimiwa Juma Nkamia (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(kulia) wakibadlishana mawazo leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yakanusha Data za Mawasiliano na Umeme Kuzimwa Siku ya Uchaguzi

SERIKALI imeeleza kushangazwa na uzushi kwamba siku ya uchaguzi mkuu, data za mawasiliano pamoja na umeme vitazimwa, jambo ambalo imetaka wananchi kupuuza taarifa hizo potofu. Taarifa hizo ambazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA Yawataka Wananchi Kujumulisha Matokeo na Kuyasambaza Badala ya...

Chadema imewataka wananchi kujumlisha matokeo yote yatakayotolewa kwenye vituo vya uchaguzi na kuyasambaza badala ya kusubiri kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Akizungumza jana kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzindakaya: Waliohama CCM Wapuuzwe

MWANASIASA mkongwe nchini, Chrisant Mzindakaya amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wagombea wao wa nafasi mbalimbali, wasigombane na waliohama chama hicho kwa kusisitiza kwamba...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live


Latest Images