Jaji Ramadhani awavuruga wagombea urais CCM
Dar es Salaam. Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala...
View ArticleMbowe: Nitagombea tena ubunge Hai
Hai. Siku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai...
View ArticleNape Amshambulia Freeman Mbowe……..Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa...
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema...
View ArticleGodbless Lema Apata mpinzani Arusha ……Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo...
HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya...
View ArticleNCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA officialvideo
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleShilole Malele Official Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUse an Arduino to Control a Motor
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUsing the Arduino’s Analog I O
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUse an Arduino to Control a Motor 2
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUsing the Arduino’s Analog I O 2
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleVideo ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mi…
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleYamoto Band Nisambazie Raha Official Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMatonya Feat Rich Mavoko Mule Mule Official Music Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleEgypt vs Tanzania 3 0 All Goals and Highlights 14 6 2015
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleHonda Trigger Silencer Color fade away Problem : Solution
well as i have completed 16000 there is no problem as too much.But friends if there is silencer fade away problem go in market purchase the AEROSOL Spray paint accordance urs colour choice its cost rs...
View ArticleLowassa Azidi Kupata Mapokezi Makubwa Kila Anakoenda…….Songea Alazimika Kukaa...
WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini Chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa...
View ArticleMwandosya: Lowassa Asisite Kuniunga Mkono
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amemuomba mgombea mwenzake katika kinyang’anyiro cha kutafuta ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea kupitia CCM, Edward Lowassa asisite...
View ArticleRisasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni
MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai...
View ArticleSerikali Kushusha Ushuru wa Mafuta leo?
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16. Mbali na Wizara ya Fedha ambayo itakuwa na mengi ya kufafanua au...
View ArticleWatoto 92 Wanaishi na Virusi Vya Ukimwi Bunda
IMEELEZWA kuwa katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kuna watoto wanaofikia 92 wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Taarifa hiyo ilitolewa jana na Ofisa Maendeleo ya Jamii katika Wilaya ya...
View Article