Stepper Motors
Stepper Motor Part 1 Stepper motor is known by its important property to convert a train of input pulses i.e. a square wave pulses into a precisely defined increment in the shaft position. Each...
View ArticleProduce a reason-Influence Essay that Matches Your Professor’s Needs
A reason-appearance essay maintains a union involving two split functions. That has been say, the situations of occurrence “A” causes event “B” showing. Other cause and impression essays are where...
View ArticleThis Is The Way To Examine In Advanced schooling
What About Many A’s Which are the specialized actions and analyze solutions that identify highly effective analysis and will raise the possibility of being successful in university or college? Is...
View ArticleUtambulisho wa kipindi kipya cha Televisheni cha Kiswahili Washington DC
Jumamosi,Oktoba 31, Swahili Media Network LLC kwa ushirikiano na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC walitambulisha kipindi kipya cha Televisheni cha Kiswahili JAMBO TV SHOW...
View ArticleVijana moro wachangamkia mradi wa Airtel Fursa wiki hii
Afisa Masoko wa kampuni ya simu mkoa wa Morogoro, Aminata Keita akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ujasiliamali ya airtel fursa kwa vijana yenye lengo la kuwapa elimu ya usajiliamali ili...
View ArticleRais Kikwete Amteua Ramadhan Kaswa Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba 30, mwaka huu, 2015. Kabla ya uteuzi wake,...
View ArticleMwanajeshi FEKI Akamatwa Kigoma
Mwanajeshi feki wa jeshi la wananchi(JWTZ)amekamatwa leo Mkoani Kigoma akiwa amevaa sare za jeshi hilo. Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya tukio hilo kamanda wa polisi wa Mkoa wa...
View ArticleTume ya taifa ya uchaguzi yaombwa kutoa tarehe ya kupiga kura jimbo la Lulindi.
Tume ya taifa ya uchaguzi imeombwa kuweka wazi mapema iwezekanavyo tarehe ya kupiga kura ya ubunge jimbo la Lulindi vinginevyo ucheleweshaji huo unaathari kwa wapiga kura na vyama vyenye wagombea....
View ArticleKTM Unveils RC16 MotoGP Prototype
Austrian KTM has debuted their 2016 MotoGP prototype racer the RC16 at the Red Bull Ring in Austria. A part of a three-day test with Alex Hohffman,… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleFB Mondial Announces Its Return
One of the oldest names in the Italian motorcycle industry, FB Mondial has announced its return for 2016. The company will officially make the… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticlePicha: Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa...
View ArticleTB Joshua Ayeyuka Ghafla…… Aacha Maswali Mazito Hapa Nchini
Muhubiri wa kimataifa nabii maarufu duniani Temipote Balogun maarufu kama TB Joshua ameacha maswali baada ya kushindwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa awamu ya tano Dk.John Magufuli....
View ArticleMajambazi Wateka Magari Huku Wakiimba "Hapa Kazi Tu"
Kundi la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali kama mapanga na marungu, juzi waliteka magari katika kijiji cha Igogo,Wilaya ya Igunga huku wakiimba ‘hapa kazi tu’. Baadhi ya...
View ArticlePolisi yapiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa nchini
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya kisiasa. Akizungumza na wanahabari...
View ArticleUrusi yapinga Ripoti ya Marekani kuanguka ndege ya Nchi hiyo, Putin Afanya...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepiga marufuku safari ya ndege zote za Urusi kuelekea nchini Misri hadi pale itakapobainishwa kwa usahihi sababu zilizopelekea kuangushwa kwa ndege ya nchi hiyo,...
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa idadi ya Wabunge wa Viti Maalum …..CCM viti...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva ametangaza idadi ya wabunge wa Viti Maalum leo katika ukumbi wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Jaji Lubuva...
View ArticleSerikali YASITISHA Matumizi ya Picha Rasmi ya Rais Magufuli
Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe...
View ArticleWafuasi 17 wa Chadema Kizimbani
WATU 17 wanaodaiwa ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Igunga mkoani Tabora wamefikishwa mahakamani kwa mara ya pili wakikabiliwa na shitaka moja la kufanya mkusanyiko...
View ArticleSakata la Uchaguzi Kufutwa: Wapinzani Zanzibar Wagawanyika
Vyama vya upinzania kisiwani Zanzibar vimetofautiana kuhusu uamuzi wa mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa maelezo kuwa...
View ArticleWatu Wanne Wapandisha Kizimbani Kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Kwenye Mtandao...
WATU wanne wakiwemo ndugu watatu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa Whatsapp, kuwa nchi inaingia...
View Article