Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya
December 19 Ligi Kuu Uingereza iliendelea na moja ya mechi zilizochezwa ni ile ya Chelsea dhidi ya Sunderland , mchezo uliomalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Katika mchezo huo,...
View ArticleUkawa wamtetea Mkurugenzi wa Kinondoni Aliyesimamishwa kwa Ufisadi
Madiwani wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wamemtetea Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mhandisi Mussa Natty 7aliyesimamishwa kazi. Mhandisi Natty...
View ArticleWaziri Kitwanga AKutana na Waandishi wa Habari Leo na Kuongelea Kuhusu Madawa...
Leo Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga leo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam. Baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya ofisi za Jeshi la Polisi kikubwa alichozungumza ni...
View ArticleWalichoongea Rais Kikwete Na Maalim Seif Baada ya Kukuta Ikulu Jijini Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana naMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif...
View ArticleMadiwani wa CUF Kufikishwa Mahakamani Kwa Kufanya Vurugu
Madiwani kumi wa Chama Cha wananchi (CUF) waliodaiwa kufanya vurugu katika uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya jiji la Tanga wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Hayo yalisemwa jana na Kamanda wa Polisi wa...
View ArticleCOSOTA yataja kiasi atakacholipwa msanii kwa kila wimbo au video...
Miongoni mwa maswali mengi ambayo yanaendelea kuulizwa kuhusiana na utaratibu mpya wa vyombo vya habari kuanza kuwalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao kuanzia mwakani, ni pamoja na kiasi gani msanii...
View ArticleSherehe za Kumuombea Lowassa Uvumilivu na Hekima Nusura Zivunjike
Wananchama na viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa mjini Morogoro wamefanya sherehe zenye lengo la kumuombea hekima na uvumilivu aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward...
View ArticleDiamond atoa sababu ya kukacha All White Party ya Zari, adai hamwogopi Ivan
Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa...
View ArticleMrithi Wa Dk. Willbrod Slaa Chadema Huyu Hapa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanyia kazi uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama hicho kufuatia aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Dk. Willbrod Slaa kujivua wadhifa huo baada ya kujitoa kwenye...
View ArticleWaziri Lukuvi Asitisha Zoezi la Bomoa Bomoa Dar
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, Mhe. William Lukuvi amesitisha zoezi la bomoabomoa kwa muda wa siku14 katika maeneo ya mabondeni na yaliyovamiwa na kujengwa kinyume cha sheria...
View ArticleJanuary Makamba Atema Cheche Kuhusu Wavamizi wa Ardhi…..Asema Kuwa na Vibali...
Taarifa ya Hali ya Mazingira Nchini inaonyehsa kwamba mwenendo wa uharibifu wa mazingira nchini ni wa kutisha. Mito mingi nchini inakauka. Vyanzo vingi vya maji vinakufa. Miti na misitu ya asili...
View ArticleSerikali Yafuta ‘Semina Elekezi’ Kwa Madiwani
Serikali imesema mafunzo kwa ajili ya madiwani wote hayatakuwepo na badala yake wenyeviti na makamu wa wenyeviti kote nchini ndio watapatiwa mafunzo ya namna ya kusimamia halmashauri zao. Naibu...
View ArticleMhe. Jenista Aagiza Kamati Za Menejimenti Ya Maafa Nchini Kuwatoa Wanaoishi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTEKELEZAJI WA AGIZO LA MENEJIMENTI YA MAAFA KWA KAMATI ZA MAAFA NGAZI ZA MIKOA, WILAYA, KATA NA VIJIJI Kufuatia taarifa ya tahadhari ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua za...
View ArticleMaombi ya Kupandisha Ada Yatinga Wizarani
Shule nyingi za msingi na sekondari zisizo za Serikali, zimetuma maombi kwa Kamishna Mkuu wa Elimu nchini kuomba kibali cha kupandisha ada katika mwaka ujao wa masomo. Hatua hiyo ni kuitikia amri ya...
View ArticleMagufuli Mgeni Rasmi Mkesha wa Kuiombea Amani Tanzania.
RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkesha wa kuiombea Amani Tanzania utakaofanyika Desemba 31 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya...
View ArticleWakuu wa Mikoa na Wilaya Dhibitini Migogoro Ya Ardhi – Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo...
View ArticleRais Magufuli Atoa Zawadi Za Sikukuu Ya Krismasi Kwa Watoto Wa Kijiji Cha...
Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma Bi. Ziada Nkinda (Aliyebeba Mtoto) akikabidhi zawadi za siku kuu ya Noeli (Christmas) zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa...
View ArticleWatu 7 Wafariki Kwa Kuungua Moto Baada ya Gari Kupinduka na Kuwaka Moto
WATU saba wamefariki duniani na wengine kumi wamejeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka na kulipuka na kuwaka moto. Akiongea na mtandao huu ofisini kwake Mganga Mkuu wa...
View ArticleWaziri Wa Afya Amsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Wa Taasisi Ya Ocean Road...
WAZIRI wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk.Diwani Msemo ili kupisha uchunguzi pamoja na mambo...
View ArticleMadereva Watakaozidisha Abiria Kwenye Vyombo Vya Usafiri Kukiona
JESHI la Polisi Nchini limewatahadharisha madereva watakaozidisha idadi ya abiria kuliko uwezo wa chombo cha usafari kwani ni kosa kisheria na watakaozidisha abiria kwenye vyombo vyao vya usafiri...
View Article