Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanisa lenye umbo la kiatu lajengwa Taiwan

Kanisa la kiatu Kanisa la urefu wa mita 16 lililojengwa kwa kutumia vigae vya glasi linalofanana na viatu vyenye visigino virefu vinavyopendwa sana na wanawake limejengwa huko Taiwan kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu weusi waachwa nje tuzo za Oscars

Filamu ya The Revenant inaongoza kwa kushindania tuzo vitengo vingi Waigizaji na waelekezi wa filamu watakaopigania tuzo kuu za sanaa duniani za Oscar wametangazwa na kwa mwaka wa pili hakuna watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba wa kushangaza aliyeuawa Marekani

Simba huyo alikuwa pia na masharubu ya ziada Simba wa milimani aliyeuawa katika jimbo la Idaho, nchini Marekani ameshangaza wengi kutokana na hali kwamba alikuwa na meno ya ziada kichwani. Meno hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mume wa Celine Dion afariki dunia

Rene Angelil alihudumu kama meneja wa Celine Dion hadi 2014 Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza. Bw...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki Mos Def afurushwa A Kusini

Mos Def Mwanamuziki wa muziki wa Rap kutoka Marekani kwa jina maarufu Mos Def ameamrishwa kuondoka Afrika Kusini katika kipindi cha siku 14 baada ya kukamatwa kwa kukiuka sheria za uhamiaji. Mos Def...

View Article


Beautiful Mountain Huts Where You Can Stay Aloof

The Fall of 2014 saw thirteen students of architectural design at Harvard Graduate School of Design delving over the best design innovation that… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu adai Dk. Slaa amepata majibu aliyouliza kuhusu Lowassa Kama ni...

Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameeleza kuwa tayari majibu ya maswali yaliyoulizwa kuhusu Edward Lowassa kuwa mali au mzigo kwenye chama hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam….Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao...

Hali si shwari  katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, Wananchi waliobomolewa nyumba zao wamefunga barabara na kuchoma moto mataili pande zote za barabara  Jeshi la Polisi...

View Article


Afterglow Is Easily The Trippiest Ski Film Ever

We were so done with the thousands of videos of skiers mastering their dominance over the snowy slopes in seconds and zooming past glaciers! But… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article


A Decade Of Nike Lebron James

Some are just born under the right stars. LeBron James is one such name that has been made world famous since Nike brought a very young NBA player… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

ExoLens x Zeiss Lens System For iPhones

ExoLens a special division of Fellowes has recently launched a set of lenses in collaboration with professional camera lensmaker Zeiss to create a… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Spidi’s New Firebird Jacket Blends Aviator Styling To Motorcycle Gear

Its been quite some time since we have been contemplating the blending of motorcycle riding gear into more practical day-to-day clothing. Thankfully… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahariri Wa Gazeti La Mawio Wajisalimisha Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi...

Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Awapongeza Walioshinda Umeya Manispaa Za Ilala Na Kinondoni Leo

Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majipu Yazidi Kutumbuliwa…… Waziri Simbachawene Awasimamisha Kazi Wakurugenzi...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) amewasimamisha kazi Wakurugenzi Watendaji wa Manispaa za Kigoma, Mkoa wa Kigoma na Manispaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIMENUKA TENA HUKO INSTAGRAM: Zari na Wema Sepetu watukanana Instagram, soma...

Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu. Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa ni maneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Akutana na Balozi wa Israel Hapa Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkaribisha Balozi wa Israel hapa nchini Mheshimiwa Yahel Vilan, Ikulu jijini Dar leo. …Wakifanya mazungumzo, Ikulu jijini Dar. Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke Akutwa Kwenye Paa la Jengo la Wizara ya Fedha

Mwanamke huyo kiwa juu ya paa. Watu wakitaharuki. …Polisi akiwa pembeni ya uzio wa majengo ya wizara ya fedha na mipango mara baada ya mwanamke huyo kuwa juu ya paa la nyumba hizo. Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SDR Vacuum Reclosers

Recloser principle and design Reclosers are used in distribution systems. Like circuit breakers, reclosers are used to make and break normal and fault currents. Reclosers are fully equipped with...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Emergency Back Tie Recloser

View of the emergency back tie recloser, the can plant feeder and metering, the pole line feeding the main plant with metering, a recloser and the aerial fiber optic line.  [via LEKULE] Follow us...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live