Najua kabisa kuna watu wangu wao ni damdam na kujionea picha za miji na majiji mbalimbali, basi jukumu langu kila siku ni kuhakikisha naifanya kazi ya kuzikusanya zote kama hizi na kuzisogeza hapa kwenye SOSTENES BLOG Na leo tayari ninazo hizi picha 16 kutoka Jiji la Mbeya maarufu kama Green City , huu ni muonekano wa barabara zinazozunguka jiji hili ambazo inawekana umeshawahi kuziona au hujawahi kabisa kuziona. Barabara ya Block T Kituo cha daladala Kabwe . Barabara ya S/kuu-Igawilo Soko jipya la Mwanjelwa Nembo ya Mwenge katikati ya jiji la Mbeya Barabara ya Hospitali ya Rufaa Barabara ya Mafyati Kituo cha mabasi Nanenane Barabara ya Uyole Hii ni barabara ya Uyole ya Kati
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat