Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Maalim Seif Sharif Hamadi Arejea Zanzibar Baada ya Kukaa Mapumzikoni Serena...

Siku chache baada ya Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein kuapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa marudio uliosusiwa na baadhi ya vyama vya upinzani, Katibu mkuu wa chama cha wananchi (CUF), Maalim...

View Article


Anne Kilango Malecela Akomaa na Watumishi Hewa

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela ametoa siku sita kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tatu za Ushetu, Msalala na Kahama zilizopo wilayani Kahama kuhakikisha wanawakilisha kwake majina ya...

View Article


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Adai Yeye Ndo Mwanzilishi wa Wazo la Kuhakiki Silaha...

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amesema kazi ya kuhakiki silaha iliyoanza kwa wakazi wa Dar es Salaam, ilishaanza mkoani mwake takribani miezi miwili iliyopita na kwamba ndiyo maana matukio ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 15: Barabara ya Mwananyamala Dar, imefikia hapa baada ya RC Makonda...

Siku ya March 11 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam   Paul Makonda alifanya ziara ya kutembelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kujionea  kero za uharibifu wa miundombinu ikiwepo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usitarajie kumuona Ibrahimovic Man United kama mambo yataendelea kuwa hivi …

March 25 starsport wamerudisha jina la Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines za kutaka kujiunga na klabu ya Man United ya Uingereza akitokea Paris Saint Germain ya Ufaransa . Jina la Zlatan safari hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michezo Misri wametoka salama Nigeria, kazi imebakia kwa Taifa Stars Septemba...

Bado kivumbi cha mataifa ya Afrika kuendelea kuwania nafasi ya kuelekea fainali za AFCON 2017 Gabon  kinaendelea, March 25 2016 hatua ya Makundi ya kuwania kufuzu michuano hiyo iliendelea kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Suarez aisawazishia Uruguay dhidi ya Brazil

Luis Suarez alifunga bao la pili na kuisawazishia Uruguay katika kipindi cha pili katika droo ya 2-2 dhidi ya Brazil katika mechi yake ya kwanza ya kimataifa tangu apigwe marufuku kwa kumng’ata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ronaldo ashindwa na penalti

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo alikosa penalti kwa mara ya pili mfululizo huku timu yake Portugal ikipoteza nyumbani dhidi ya Bulgaria katika mechi ya kirafiki. Marcelinho alifunga bao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zika: Marekani yawashauri wanaume na wanawake

                      Mama aliyejifungua mtoto mwenye maradhi ya Zika Idara ya Afya nchini Marekani imetoa ushauri mpya kuhusiana na uja uzito na virusi vya Zika. Idara hiyo kwa sasa inapendekeza kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usmanov: Arsenal ”inamuhitaji” Arsene Wenger

Arsenal ”inamuhitaji” Arsene Wenger hivyobasi mkufunzi huyo wa The Gunners ana uwezo wa kumchagua mrithi wake wakati atakapoondoka,kulingana na mwanahisa mkuu wa klabu hiyo Alisher Usmanov. Wenger pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 27 2016 kwenye, hardnews na michezo

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Serikali Ya Tanzania Haina Mpango Kwa Kuteketeza Meno Ya Tembo Yaliyohifadhiwa

Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya tembo yaliyohifadhiwa ambayo yametokana na vitendo vya ujangili na vifo asilia vya tembo. Tamko hilo...

View Article

Mtoto wa Siku Moja Aibwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

Mtoto wa siku moja ameibwa katika mazingira ya kutatanisha katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, akiwa pembeni mwa mama yake aliyekuwa amelala, mwenye umri wa miaka 16. Akizungumzia uporaji huo jana,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fedha za Emmanuel Okwi kutoka Etoile du Sahel bado ni ishu Simba

Baada ya mvutano wa muda mrefu wa  Simba  kufuatilia fedha zake za usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa  Uganda   Emmanuel Okwi  kutoka katika klabu ya  Etoile du Sahel , kitu ambacho kilipelekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sanders amshinda Clinton Washington

Image copyright AFP Image caption Sanders amshinda Clinton Washington Mgombea wa kiti cha urais wa Marekani katika chama cha Democtrats bwana Bernie Sanders ameshinda majimbo mengine mawili katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wa-Mexico wachoma mfano wa ‘Trump’

Raia wa Mexico wanaosherehea sikukuu ya pasaka wamekuwa wakichoma sanamu za mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha Republicans Donald Trump. Mojawapo ya tukio hilo la kushangaza limefanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary. Fatma Amani Abeid Karume,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 16: Muonekano wa barabara za Jiji la Mbeya

Najua kabisa kuna watu wangu wao ni damdam na kujionea picha za miji na majiji mbalimbali, basi jukumu langu kila siku ni kuhakikisha naifanya kazi ya kuzikusanya zote kama hizi na kuzisogeza hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya timu ya taifa ya Chad kujitoa AFCON 2017, haya ndio maamuzi ya CAF

Jumatatu ya March 28 timu ya taifa ya  Tanzania Taifa Stars  ilikuwa inajiandaa kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa nne wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2017 dhidi ya  Chad , habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EL CLASICO Ipo njiani ni april 2 ndani ya nou camp

APRIL 2 Wanasema hatumwi mtoto dukani katika nchi ya hispania,ni ligi maarufu inayoitwa La liga ni watawala wakuu wa nchi hiyo barcelona na maadui zao real madrid.Katika mechi ya mwisho timu ya...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live