kiama kumfikia memphis depay mara ifikapo mwisho wa msimu kwa kutemwa na timu...
Winga wa Manchester United Memphis Depay ataondoka msimu huu hii imeripotiwa na ‘The sun’ kuwa winger huyo ameshindwa kufikia matakwa ya timu hiyo ya mji wa Manchester Depay alitazamiwa kuwa ndiye...
View ArticleThe Most Iconic Formula One Pace Cars
The enforcement of the safety car came after a number of crashes in the 1973 Formula One racing season. Clay Regazzoni was involved in a horrendous… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleThe Sound Of The Jaguar D-Type Still Brings Goosebumps
For those interested in the history of automotive racing, the term Jaguar and Le Mans brings up a vibrant chequered lesson even more so when you… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleVigogo Wawili Maliasili Waliotoa Vibali vya Kusafirisha Tumbili Watiwa Mbaroni
Kikosi kazi maalumu cha kuchunguza makosa makubwa ya kihalifu kimewatia mbaroni vigogo wawili wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wakihusishwa na utoaji wa kibali cha kusafirisha tumbili 61 kwenda...
View ArticleRais Magufuli Amuapisha Mkuu Wa Mkoa Mpya Wa Songwe Mhe. Chiku Gallawa Ikulu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016 Rais wa...
View ArticleDk Shein amteua Balozi Seif Ali Idd Kuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amemteua Balozi Seif Ali Idd kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa visiwa hivyo. Kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 39 (2) cha...
View ArticleMkurugenzi asimamishwa kazi Itilima, posho zafutwa
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka MKURUGENZI wa Halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, John Aloyce amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kushindwa kuisimamia halmashuari...
View ArticleUchaguzi wa Zanzibar waikosesha hela Tanzania
Shirika la ufadhili la serikali ya Marekani limesitisha msaada wake kwa serikali ya Tanzania likilalamikia matukio kuhusu uchaguzi wa Zanzibar na kutekelezwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao. Bodi ya...
View ArticleMourinho na mikakati kuiboresha Man utd.
Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho anadaiwa kuanza kujipanga na Manchester United kama atachukua nafasi ya Louis van Gaal. Kwa mujibu wa jarida la Don Balonna Mourinho anataka kusajili nyota...
View ArticleAmitabh Bachchan ashinda tuzo ya Bollywood
Nyota wa filamu za Bollywood Amitabh Bachchan na Kangana Ranaut wameshinda mataji makuu katika tuzo za kitafa za filamu nchini India. Bachchan alishinda tuzo ya muigizaji bora kwa jukumu lake katika...
View ArticleTamko la Wizara ya Afya Kufuatia Wananchi Kuwashambulia Watumishi wa Afya
Ndugu Wananchi, Nachukua fursa hii nikiwa Waziri mwenye dhamana ya masuala ya afya nchini, kutoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya...
View ArticleTaarifa ya ACT-Wazalendo:Uamuzi Wa Bodi Ya Wakurugenzi Ya MCC Wa Kusitisha...
TAARIFA KWA UMMA UAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MCC WA KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA YATAWAUMIZA WANANCHI WA VIJIJINI CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeupokea kwa masikitiko makubwa uamuzi wa Bodi ya...
View ArticleThe Most Iconic Shooting Brakes Of All Time
With recent news surfacing about a new Porsche Panemera Shooting Brake to be announced at this year’s Paris Motor Show, we thought it would be… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleRais Magufuli Aagiza kufunguliwa kwa barabara ya Uwanja wa Ndege Mwanza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania Dakta John Magufuli, ameagiza kufunguliwa kwa barabara ya Uwanja wa Ndege Mwanza -Igombe hadi Kayenze yenye urefu wa km.7 iliyofungwa kupisha upanuzi wa uwanja...
View ArticleWananchi Wa Chato Wajitokeza Kwa Wingi Kumlaki Rais Dkt John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo. Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa...
View ArticlePICHA 17: Rais Magufuli katua Airport Mwanza akatoa laki moja watu wanywe...
March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airport ya Mwanza , kingine alichokifanya ni kwenda kwenye...
View ArticleMAJIBU YAMETOLEWA: Mabasi ya haraka yakianza kazi Dar zile Daladala barabara...
Mabasi ya mwendo wa haraka kwenye jiji la Dar es salaam yapo kwenye majaribio ya kuanza kazi hivi karibuni na inawezekana ulijiuliza kama itakuwa ni chaguo lako upande Mabasi hayo au daladala barabara...
View ArticleTaarifa Za Watumishi Hewa Zatua Ofisi Ya Rais-tamisemi.
Mtakumbuka kwamba leo ni siku ya 15 ya utekelezaji wa Agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa kwa Wakuu wa Mikoa la kuwataka kuwaondoa kwenye malipo watumishi hewa....
View ArticleThe Weekend Binge. March 27, 2016
As always, another glorious weekend has arrived which means its time to grab a nice comfortable seat, seclude yourself from everything else and… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleWaziri wa Mambo ya nje, Balozi Mahiga Asema Serikali imesikitishwa na...
Serikali imeeleza kusikitishwa na uamuzi wa Marekani kusitisha uhusiano katika Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), bila kuishirikisha wala kuisikiliza. Kadhalika, imesema hakuna umuhimu wa misaada...
View Article