Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

PICHA 17: Rais Magufuli katua Airport Mwanza akatoa laki moja watu wanywe soda na akakaa kwenye Mgahawa

$
0
0

March 29 2016  Rais  Magufuli   ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa  Airport ya Mwanza , kingine alichokifanya ni kwenda kwenye  mgahawa  wa kawaida kabisa uliopo pembeni ya Airport na kutoa ofa ya vinywaji kwa Wananchi. Rais Magufuli akitoka kuelekea kwenye Mgahawa Rais Magufuli kwenye meza moja na Meya wa Ilemela Renatus Mulunga na Meya wa Jiji James Bwire Watu wakapita na ofa ya Rais Magufuli . Wanahabari nao wakapita kwenye ofa Huu ndio mgahawa alipofikia Rais Magufuli Watu nje ya Mgahawa Mama Janeth Magufuli na Rais Magufuli . Wanahabari na Easter Madale, Meneja uwanja wa ndenge Mwanza p . Rais  Magufuli   amepita Mwanza akielekea  Chato  nyumabani kwao kwa mapumziko ya siku tano na baada ya hapo ataanza ziara yake ya kikazi kwenye mkoa wa  Mwanza . Wananchi wakimuaga Rais Magufuli akiondoka airport

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles