Waliompiga Daktari Mkoani Mtwara Wakamatwa Wakijiandaa Kutoroka Kwenda Nje ya...
Kufuatia tukio la ndugu wa mgonjwa kumpiga Daktari Mkoani Mtwara, tayari jeshi la Polisi Mkoani humo linawashikilia watu kadhaa kwa kitendo hicho cha kumpiga Daktari wakati akiwa katika majukumu yake...
View ArticleAn Incredible Supercar Tour To The Monaco Grand Prix
What Better Way To Experience The Monaco Grand Prix Than An Amazing Road Trip Monaco, the tiny 2.02 km land on the banks of Mediterranean Sea is not… Visit the link above to read the full story. [via...
View Article1979 BMW R100RS by Moto Adonis
Classic motorcycles are a charm to ride. Their mechanical simplicity set atop a old school design is as appealing today as it was when they were… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleWatu 580 Wajitokeza Kuhakiki Silaha Dar es Salaam
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema watu 574 wamejitokeza kuhakiki wa silaha zao. Mkuu wa mkoa huo, Paul Makonda alitoa siku 90 kwa wakazi wa Dar es Salaam wawe wamehakiki silaha zao...
View ArticleWananchi Waanza Kugombania Kiti Alichokikalia Rais Magufuli Kwenye Mgahawa...
Mgahawa aliotumia Rais John Magufuli kupata mlo wa mchana na msafara wake juzi kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza, umekuwa kivutio kwa wateja wengi wakinunua chakula na kutaka kukalia kiti na meza...
View ArticleWakuu Wa Mikoa Wawasilisha Ripoti Za Watumishi Hewa ……..Mwanza Yaongoza Kuwa...
Hatimaye wakuu wa Mikoa yote nchini wametii agizo la Rais John Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti ya idadi ya watumishi hewa kwenye mikoa husika. Wakuu hao wa mikoa wapya wamewasilisha...
View ArticleMkuu wa Wilaya Aagiza kushushwa Vyeo Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari...
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Chande Nalicho ameagiza kushushwa vyeo wakuu wa shule zote za msingi na sekondari katika wilaya hiyo, ambao shule zao zimefanya vibaya katika matokeo ya...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Yasema Imejipanga kukusanya Bilioni 8...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeanza kutekeleza mikakati mipya ya ukusanyaji wa mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wadaiwa ambayo itaongeza wastani wa ukusanyaji wa Tshs...
View ArticleTAKUKURU Yabuni Mbinu Mpya ya Kupambana na Rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Kinondoni imebuni mbinu mpya ya kushirikiana na wananchi kwa urahisi zaidi katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kusogeza huduma zake za kiofisi kwa...
View ArticleTanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 kutoka Japan.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za...
View ArticleMakamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Aapishwa
Balozi Seif Ali Iddi akielekea sehemu ya kula kiapo kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar alipoapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla...
View ArticleMeya Wa Jiji La Dar Es Salaam, Isaya Mwita Aapishwa
Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam, Isaya Mwita amesema kati ya Aprili 10 na 11 ataitisha kikao cha kwanza cha Baraza la Jiji, kwa ajili ya kumpata naibu meya. Mwita aliyasema hayo jana muda mfupi baada...
View ArticleMagazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 31 2016 kwenye, Udaku, hardnews...
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleRais Magufuli Apiga Simu Clouds TV Na Kutaja Mshahara Wake Anaolipwa….Asema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu mtangazaji wa kipindi cha Clouds360 cha CloudsTv, Hudson Kamoga baada ya kusikia watu wanazungumzia kuhusu...
View ArticleEWURA Yashusha bei za Umeme kwa watumiaji wa Viwango tofauti Kuanzia...
Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti. Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika...
View ArticleChina Yasema Uchaguzi wa Zanzibar Ulikuwa Huru na Wa Haki…..Yaahidi Kuendelea...
Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mh. January Makamba Ofisini kwa Waziri huyo Mtaa wa Luthuli jijini...
View ArticleProfesa Muhongo Asema Kitendo Cha Marekani Kusitisha Misaada ya MCC...
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo amesema kuwa kwa Tanzania kutopatiwa fedha na Marekani kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Changamoto za Milenia (MCC) ambazo ni Dola za Marekani milioni...
View ArticleMwenyekiti wa Kitongoji Auawa Baada ya Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mke wa...
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bweya katika Kijiji cha Bweya mkoani Geita, Augustine Katemi (42) ameuawa baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu vichakani. Mwenyekiti huyo alifariki dunia...
View ArticleMkazi wa Mwananyamala Apandishwa Mahakamani Kwa Kutishia Kumuua Rais Magufuli...
Kondakta wa daladala, Hamim Seif (42) mkazi wa Mwananyamala Ujiji, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kutishia kumuua Rais John Magufuli kwa maneno....
View ArticleWabunge Wataka Wanaoharibu Miundombinu ya DART wachukuliwe hatua Kali
KAMATI ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeiagiza serikali kuwachukulia hatua kali wale wote waliovamia miundombinu ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) na kuigeuza kuwa masoko ya bidhaa...
View Article