Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

EL CLASICO Ipo njiani ni april 2 ndani ya nou camp

$
0
0

APRIL 2 Wanasema hatumwi mtoto dukani katika nchi ya hispania,ni ligi maarufu inayoitwa La liga ni watawala wakuu wa nchi hiyo barcelona na maadui zao real madrid.Katika mechi ya mwisho timu ya barcelona iliifunga timu hiyo ya real madrid magoli 4-0 katika dimba la santiago bernabeu huku timu ya barcelona ikiongoza timu ligi yao ya uhispania na madrid wakishika nafasi ya tatu katika ligi ya uhispania huku ikionekana piani vita kati ya safu ya ushambulizi ya real madrid inayoongozwa na ronaldo,balle na benzema huku pia na safu ya barcelona maarufu kama MSN Na pia hili ndiyo dimba ambalo mtanange huo wa watani wa jadi hao ambao watapambana

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles