Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Apata Ajali ya Chopa

$
0
0

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jana jioni  katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha.    Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali ya  Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles