Bayern wapo tayari kutoa Muller na Robben ili wamnase Di Maria.
Kazeti la Bild la nchini ujerumani limeandika habari kwamba Kocha Mkuu wa Klabu bingwa wa kombe la Bundesliga Bayern Munich, Pep Guardiola yupo radhi kubadilishana kwa kuwatoa washambuliaji wake...
View ArticleWakala Wa Van Parsie Avishukia Vyombo Vya Habari
Wakala wa mshambuliaji kutoka nchini Uholanzi, Robin van Persie, amekanusha taarifa za mchezaji wake kuhusishwa na mipango ya kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Fenerbahce, ya nchini Uturuki....
View ArticleIniesta: Haitowezekana Kwa Man Utd Kumsajili Ramos
Kiungo wa klabu bingwa nchini Hispania, Andres Iniesta amepingana na vyombo vya habari vya nchini England, vinavyoendelea kulikuza sakata la uhamisho wa beki wa klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos....
View ArticleKenya Yatangaza Msimamo Ndoa Za Jinsia Moja
Makamu wa rais wa Kenya William Ruto, ameonya kuwa ndoa za jinsia moja ni haramu na kuwa hazitawahi kuruhusiwa nchini humo. Ruto ametangaza msimamo huo mkali siku chache tu kabla ya ziara ya rais wa...
View ArticleSteven Gerrard awafanyia Surprise Mashabiki wa Marekani
Hatimae aliyekua nahodha na kiungo wa klabu ya Liverpool, Steven George Gerrard amejitokeza hadharani na kuwasalimu mashabiki wa klabu ya LA Galaxy baada ya kuwa shuhuda wa mchezo wa klabu hiyo wa...
View ArticleDe Gea kuanza mazoezi Manchester United
Mlinda mlango wa klabu ya Man Utd, David De Gea atakuwa sehemu ya wachezaji wa klabu hiyo watakaoanza mazoezi hii leo ya kujiwinda na msimu mpya wa ligi ya nchini England. De Gea anatarajiwa kuanza...
View ArticleFacebook yawa mwiba China, talaka nje nje
Shirika la habari la serikali nchini China, limeripoti ongezeko la wanandoa wanaotengana kufuatia matumizi ya kupita kiasi ya mtandao wa facebook jambo ambalo limefanya wapenzi kutumia muda mwingi...
View ArticleLIPUMBA: Tutaitisha Maandamano Mikoa Yote Yenye GESI
Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kitaitisha maandamano kwenye mikoa yenye gesi ili kulishinikiza Bunge kupinga muswada wa mafuta na gesi uliopitishwa juzi. Akihutubia wakazi wa Manispaa ya...
View ArticleMashabiki Wampa MAKAVU Lucy Komba Baada ya Kuweka Picha Mtandaoni Akichezea...
Staa wa Bongo Movies aliehamishia makazi ughaibuni, Lucy Komba ambaye ameolewa na ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu walioishambulia picha yake hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye...
View ArticleMgombea ACT -Wazalendo Aahidi Kuwasaidia Wanawake
MTIA nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kahama kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Clara Masanja amesema endapo atapewa ridhaa na chama hicho na kushinda nafasi hiyo, atahakikisha anawajengea...
View ArticleNape: Hakuna Nafasi ya Kukata Rufaa Majina Yakikatwa
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yao...
View ArticleCHADEMA Yaitisha Kikao cha Dharura Kujadili Adhabu Waliyopewa Wabunge wa...
Homa ya Uchaguzi Mkuu imeifanya Chadema kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili kujadili mambo ya kitaifa, ikiwamo adhabu waliyopewa wabunge wa Ukawa kabla ya kutoa tamko. Kikao hicho...
View ArticleMbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Apata Ajali ya Chopa
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jana jioni katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza...
View ArticleCCM Kumtangaza Mgombea wake wa URAIS Jumamosi ya Tarehe 11……..Tukio Hilo...
ana tarehe 7 mwezi wa saba tumeanza vikao vya mchakato wa mkutano mkuu wa taifa wa CCM ambao unnategemewa pamoja na mambo mengine utapitisha ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-20 20. Pia utateua...
View ArticleYou are so pretty’, ni kauli ya Jay Z alipomuona Vanessa Mdee
Vanessa Mdee anaweza kumfanya Beyonce anune au apate wivu kwakuwa muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ aliwahi kulivutia jicho la rapper mwenye nguvu zaidi duniani, Sean Carter aka Jay Z. Akiongea kwenye...
View ArticlePius Msekwa Asema Atakayekatwa Jina na Akaona Ameonewa Anaruhusiwa Kuhama...
Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow imekijengea chama hicho chuki kwa wananchi na hivyo kinahitaji mgombea anayekubalika ili...
View ArticleMchungaji Mtikila Atangaza Kuwafikisha Mahakamani Wasaka Urais 6 wa CCM……Yumo...
CHAMA cha Democratic Party (DP) kimetangaza kwenda mahakamani kukishtaki Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na makada wake sita kutokana na kukiuka sheria ya nchi, taratibu pamoja na kanuni za uchaguzi....
View ArticleKauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Kuwazuia Wananchi Kwenda Dodoma Hadi Mkutano...
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuwazuia wananchi kusafiri kwenda Dodoma hadi Mkutano Mkuu wa CCM utakapomalizika, imepingwa na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa vijana wa chama hicho,...
View ArticleDewji Atangaza Kutogombea Tena Ubunge Singida Mjini
Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amewaliza baadhi ya wapigakura wake wakati akitangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa ya madai...
View ArticleBiashara ya NGONO Yashamiri Mkoani Dodoma………Makahaba Wazagaa Kila Kona
BIASHARA ya ngono imeshamiri mkoani Dodoma wakati huu ambao vikao vya kumpata mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimekwisha kuanza. Uchunguzi uliofanywa katika baadhi ya kumbi kama...
View Article