Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jose Chameleone aahidi kumpiga jeki Wema kwenye safari yake ya kuwania ubunge

Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida. Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge 35 wa UKAWA Wafukuzwa Bungeni

Wabunge  35 wa kambi ya upinzani bungeni jana walitolewa nje ya ukumbi wa bunge na spika wa bunge  Anne Makinda na kupewa adhabu ya  kutokuhudhuria vikao vitano kwa madai ya kukiuka kanuni za bunge ....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyota ya Diamond Platnumz Inazidi Kung’ara…….Katajwa Kuwania Tuzo za Uganda...

Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika.   Akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lungi Maulanga alizwa na vibaka

Msanii wa Bongo Movie nchini, Lungi Maulanga amejikuta akilizwa na vibaka baada ya kuibiwa baadhi ya vitu vya ndani wakati akiwa katika mtoko wa usiku hali ambayo imemtia hasara na kumrudisha nyuma...

View Article

Nyumba ya Jay Dee yapigwa mnada

Kampuni ya udalali ya MEM Auctioneers and General Brokers inapiga mnada wa nyumba ya mwanamuziki nyota wa bongo fleva, Lady Jay Dee, baada ya kushindwa kulipa deni alilokopa kutoka taasisi ya fedha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto aanika majina mabilioni ya Uswisi

Dar es Salaam. Kiongozi mkuu wa chama chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe jana alianika orodha ya majina ya watu wanaotuhumiwa kuhodhi akaunti zenye mabilioni ya fedha nje ya nchi, lakini akasita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Warioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema CCM inakabiliwa na kazi ngumu ya kupata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akionya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Risasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika

Zanzibar. Wakati watu watano wakijeruhiwa, wawili kwa kupigwa risasi, kwenye uandikishaji wa wapigakura eneo la Makunduchi, mkutano baina ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wadau umevunjika kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rose Mhando Apigwa Pingu Dodoma……Asafirishwa Kwenda Dar

Kufuatia skendo ya utapeli inayoendelea kumwandama mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kupigwa pingu mkoani Dodoma, baadaye akasafirishwa hadi Dar kwa msimamizi wa kazi zake,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafiti Urais 2015: Lowassa Aongoza Mbio za Urais………Dr Slaa Ashika Nafasi ya...

Zikiwa zimebakia siku sita kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, kura ya maoni iliyoendeshwa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Awakemea Wanaotumia fedha ili kupata madaraka

RAIS Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini kutowapa mwanya wanasiasa wenye dhamira ovu ya kuwafarakanisha Watanzania bali waendelee kukemea matumizi mabaya ya fedha, rushwa na hujuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ugiriki wapiga kura ya Hapana

Maelfu ya raia wa Ugirik usiku wa leo wametawanyika katika mitaa ya mjini Anthens karibu na jengo la bunge, wakifurahia kura ya hapana waliyoipiga ambayo imeshinda kwa ya asilimia 60. Waziri mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wikileaks:Marekani iliichunguza Brazil

Mtandao wa Wikileaks umesema kuwa una ushahidi kwamba baadhi ya maafisa wakuu wa taifa la Brazil walipelelezwa mara kadhaa na idara ya ujasusi nchini Marekani NSA. Habari hizo zinasema kuwa Idara hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlipuko wawaua watu 11 Baghdad

 Mashambulizi ya mabomu yamewaua takriban watu 11 katika wilaya zenye washia wengi kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad. Magari yaliyokuwa yametegwa mabomu yalilipuka wakati watu walipokuwa wakifungua siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2. Katika fainali hii makubwa yaliweza jitokeza katika uwanja wa Vancouver mbele ya hamsini elfu mashabiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Power Circuit of a single (1) Phase Direct On Line DOL Electric Motor...

Further to the previously discussed electric motor controller with a three (3) phase Direct On Line (DOL) power circuit is the application of similar DOL power circuit for a single (1) phase small...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Wa CHADEMA Ajivua Uanachama……Asema Kama CHADEMA Wanaubavu Wakalikomboe...

MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Afanyiwa Kufuru Nigeria

Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka nchini Nigeria, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘KCEE’. Kwa mujibu wa chanzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aficha Mwili wa Marehemu ndani kwa Siku sita bila watu kufahamu

Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Biti Karo Mkazi wa Mkuranga, Kimanzichana Mtaa wa Makonde amefanya tukio la ajabu na la kushanga kwa jamii, mara baada ya kukaa na mwili wa marehemu Mama yake kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pwani kuanza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura

Zoezi la uandikishwaji kwenye daftari la kudumu la kupiga kura kwa njia ya kieletroniki BVR lipo mkoa wa Pwani kwa sasa na linaanza rasmi leo tarehe 7 mwezi wa saba. Zoezi hilo linatarajiwa kumalizika...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live