Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Hapa kuna video 7 za mazungumzo yote ya Gwajima Video ya kwanza: Gwajima akisimulia alivyojuana na Dr Slaa. Video ya Pili: Mchungaji Gwajima asema Urafiki wao ulianzia pale Dr. Slaa alipomuomba walinzi kutoka kanisani akihofia kulindwa na polisi. Video ya 3: Mchungaji Gwajima amesema kauli za Dr. Slaa kuhusu ujio wa Lowassa CHADEMA si za kweli akibainisha kuwa aliyemtaka Lowassa ni Dr. Slaa. Video ya 4: Mchungaji Gwajima amethibitisha kwa kumwita mlinzi wake atoe ushahidi kuwa Dr. Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kumkaribisha Lowassa ndani ya CHADEMA. Video ya 5 :Gwajima akionyesha vielelezo vya mazungumzo yake na Dk.Slaa alipotupiwa mabegi nje na mkewe. Video ya 6 :Wachungaji waeleza namna mke wa Dk.Slaa alivyokuwa na mchango mkubwa wa maamuzi ya Dk.Slaa Video ya 7: Gwajima amehitimisha kwa kutoa ujumbe mzito kwa usalama wa taifa Mpekuzi blog
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat