Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Having Survived the Hottest July Ever (Thanks, Natural Cooling!)

July 2015 was the hottest July ever since meteorological data had been recorded in Austria ( since 248 years ). We had more than 38°C ambient air temperature at some days; so finally a chance to...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Idadi ya mauzo ya soko la Hisa la Dar yashuka

Meneja Miradi na Biashara wa DSE, Patrick Mususa. Na Ally Daud – MAELEZO, Dar Es Salaam IDADI ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE) imeshuka  kwa asilimia 78 kutoka Tsh. Bilioni 29.8...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Anaswa na kombati za komandoo

Kijana  Zakaria Joseph akiwa amevalia kombati za jeshi. K IJANA aitwaye Zakaria Joseph 22, (pichani)mkazi wa Maili Moja, Kibaha, mkoani Pwani, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuvaa sare za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hofu yatanda, silaha za kivita kukamatwa

Silaha zilizokamatwa zikioneshwa kwa wandishi wa habari. Na Timu ya Uwazi, Mkuranga H OFU kubwa imetanda kwenye Kijiji cha Mamndi Mkongo kilichopo Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani kufuatia Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mirathi nusura imtoe roho!

Masanga Said Bori, anayevuja damu. Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata B ALAA! Mkazi wa Mtaa wa Manyoni, Ilala jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Masanga Said Bori (pichani), Jumamosi iliyopita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Ukawa atumia muda mwingi kutambulisha familia

Mgombea  udiwani wa Kata ya Kilakala kwa tiketi ya Chadema , Mapunda Lusewe akitambulisha familia yake jukwaani. Na Dustan Shekidele, Morogoro M GOMBEA udiwani wa Kata ya Kilakala kwa tiketi ya Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masha adai mashtaka dhidi yake ni batili

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amewasilisha mahakamani pingamizi juu ya kesi inayomkabili ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, akisema mashitaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli mtegoni….Wananchi Wampokea Kwa Mabango Wakimtaka Amnyang’anye Shamba...

Mgombea  urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli jana alikumbana na mtihani wa kwanza wa wananchi baada ya kupokewa na mabango yenye ujumbe mbalimbali. Miongoni mwa mabango hayo ni lile lililokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kubenea Amuumbua Dr. Slaa Mkutanoni,Kyela Mbeya

Hapa  Kubenea  akimchanachana  Dr  Slaa  katika  mkutano  wa  hadhara  Kyela, Mbeya Amesimulia  sakata  zima  la  Richmond  kwa  kudai  kuwa  wakati  likiwakilishwa  bungeni  kulikuwa  na  ripoti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Slaa atimkia Marekani, nyumba italindwa na polisi…..Hapa Nimekuwekea...

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko. Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: Gwajima Amlipua Dr Slaa, Atoa ONYO Kwa Usalama wa Taifa……Walinzi,...

Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Hapa  kuna  video 7  za  mazungumzo yote ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13...

Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huduma ya Tigo Pesa kusitishwa kwaajili ya uboreshaji

Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania itasitisha huduma zake maarufu za kutuma na kupokea fedha ya Tigo Pesa wikendi hii kwa muda wa saa 17 ili kufanya  maboresho ya huduma hiyo. Taarifa iliyotumwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanisa Katoliki Sasa Kuvunja Ndoa

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya. Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba ya Lowassa Mtihani kwa Dk. Magufuli.

Ratiba za kampeni za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaonekana kuchuana vikali, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASATA ladai adhabu kwa Shilole ipo pale pale, yadai inakusanya ushahidi...

Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye. Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA)

Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo kubwa za kimataifaa.    Ametangazwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA) katika kipengele cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nauli ya Mabasi ya Mwendo Kasi Dar Ni Sh. 900.

Ukali zaidi wa maisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam unakuja kutokana na viwango vipya vya nauli za magari yaendayo haraka kuwa kati ya Sh. 500 hadi 900 kwa safari moja kwa mtu mzima. Aidha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mrema: Chadema mbona mnanishambulia, tatizo ni uzee wangu?.

Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP,  na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake. Akizungumza na waandishi wa...

View Article

Updated 2016 KTM 690 Duke Revealed. More Power, Better Electronics

KTM has revealed the pre-production prototype of their upgraded 690 Duke to select motorcycle publications. According to a report by Visordown, the… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live