Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania Chapata Usajili Rasmin.

$
0
0

Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani   Mkala   akipokea   Cheti cha Usajili wa Chama hicho   kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha Selemani Mkala   akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva ambao ni wanachama wa chama hicho mara baada ya kukabidhiwa cheti hicho katika Ofisi za Msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles