Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa Lamaliza Mikutano yake kwa Kishindo.
Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa akigonga nyundo maalum kuashiria kukamilika kwa Mikutano ya Baraza hilo ambalo ameliongoza kwa mwaka mzima. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu...
View ArticleWanasiasa 7 wafurushwa serikalini DRC
Joseph kabila Wanasiasa saba waandamizi wamefurushwa kutoka kwa serikali ya muungano katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya kumuandikia rais wakimtaka kutokwamilia madaraka, kulingana na...
View ArticleBurkina Faso: Rais na waziri mkuu washikiliwa na jeshi
Rais wa Burkina Faso Michel Kafando (kushoto) Na Luteni Kanali Isaac Zida, katika sherehe ya kupeana madaraka, Novemba 2014, Ouagadougou. Na RFI Wanajeshi kutoka kikosi cha usalam wa Rais...
View ArticleWanafunzi wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni
Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo...
View ArticleJK amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali Taarifa iliyotolewa, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu...
View ArticleDigital fuels growth in Africa’s entertainment and media industry: PwC report
“The line between traditional media and digital media is blurred – consumers want more flexibility and freedom in how they consume content.” After more than a decade of digital disruption, the African...
View ArticleMhe. Rais Kikwete awaapisha rasmi Balozi Mwakasege, Bundala, Kilima, Luvanda,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Bi. Victoria Richard Mwakasege aliyekuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Burundi. Balozi Victoria R. Mwakasege...
View ArticleCNN Multichoice African Journalist 2015 finalists announced
Finalists in the prestigious CNN MultiChoice African Journalist 2015 Competition were announced today by Ferial Haffajee, Chair of the independent judging panel. The competition is now in a landmark...
View ArticleTatizo la uhaba wa maji Wilayani Mkuranga kuwa historia
Mwakilishi wa Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki nchini Tanzania Dkt, Mohammed Akbar akitoa taarifa za kukamilika kwa kazi ya uchimbaji wa kisima chenye urefu wa mita 541 eneo la...
View ArticleVijana Tanzania Wanatakiwa Kujitambua, Kuacha Kigeugeu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira...
View ArticleCCM Yavuna Wanachama 180 Mkutano wa Hadhara Mtwara
Umati wa wananchi pamoja na wanaCCM wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) katika viwanja vya Manispaa ya Mtwara...
View ArticleNCCR – Mageuzi Waongea na vyombo vya habari…… Wamjibu Mwenyekiti na Katibu...
Pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini NCCR Mohamed Tibanyendera akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.Picha: Karoli Visenti. SIKU moja kupita baada ya Makamu mwenyekiti...
View ArticleUKAWA Wamponda Samuel Sitta Kumwachia Mkewe jimbo
MSAFARA wa mgombea mwenza wa urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, juzi uliingia katika Jimbo la Urambo mkoani Tabora, huku makada wa umoja...
View ArticleSumaye : Magufuli Amepoteza Dira……Sasa Anadandia Slogan za CHADEMA
Siku moja baada ya Dk John Magufuli kupachika jina lake kwenye operesheni ya Chadema ya M4C, Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye amemuelezea mgombea huyo urais wa CCM kuwa ni mtu anayedandia hoja...
View ArticleMsafara wa Sugu Washambuliwa kwa mawe Wakati Akielekea Mkutanoni
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu...
View ArticleAunt Ezekiel: Nimeamua Kuhama CHADEMA Na Kurudi CCM Baada ya Kuvutiwa na Sera...
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amedai kutishiwa amani baada ya kufanya maamuzi yake kisiasa ambapo amehamisha ushabiki wake kutoka CHADEMA na kwenda CCM. Licha ya mrembo huyo kudai...
View ArticleWakenya Watatu Na Mtanzania Mmoja Wauawa kwa Ujambazi Arusha
Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha. Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMabalozi wa CCM Wakamatwa Wakiandikisha Namba za Kadi za Wapiga Kura na...
POLISI mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa makosa mawili tofauti ikiwamo ya kukutwa wakiandikisha namba za kadi za wapiga kura na kuchana mabango ya mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa....
View ArticleTume ya Uchaguzi yalaani mauaji wakati wa kampeni Tarime…..Yaliomba Jeshi la...
Kwa masikitiko na mshangao mkubwa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea taarifa ya kutokea kwa mauaji katika Kijiji cha Mangucha Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wakati wa Kampeni za Uchaguzi ambapo...
View ArticleChama cha Madereva wa Serikali Tanzania Chapata Usajili Rasmin.
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili...
View Article