Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

$
0
0

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;- 1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI; 2.TAREHE 23 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA TEMEKE NA ILALA; 3.MALALAMIKO HAYO YAWASILISHWE NA MUHUSIKA MWENYEWE NA SIYO MWAKILISHI; 4.MALALAMIKO AMBAYO YAMEKWISHA WASILISHWA MAHAKAMNI HAYATAPOKELEWA. KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles