Controlling System
This system should provided a force so that current or any other electrical quantity will produce deflection of the pointer proportional to its magnitude. The important functions of this system are,...
View ArticleYamaha UK Announces Repeat Production Run For The R1M
Yamaha recently announced that they are going to make another production run for 2016 for the higher-spec R1M. The R1M is based on the 2015 R1 which… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleMaoni:NEC Iwamulike Wanasiasa Wanaofanya Kampeni za MATUSI Ili Kuepusha...
Ndugu wasomaji,ni matumaini yetu kuwa mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku ikiwemo kufuatilia kampeni za wanasiasa ikiwa ni kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi...
View ArticleMabasi 138 yaendayo haraka yatua Dar
Mwezi mmoja baada ya kuanza kutolewa kwa mafunzo kwa madereva maalumu, awamu ya kwanza ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) imewasili nchini kutoka China. Agosti 16, Serikali...
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC ) Yatupilia Mbali Malalamiko ya Mbowe
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imepuuza malalamiko ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) juu ya kauli ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Abdallah Bulembo, kuwa chama chake hakitakuwa tayari...
View ArticleJoseph Musukuma Amshambulia LOWASSA……..Asema Alijisaidia Hadharani Pale...
MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemvaa mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa na wengine waliohamia Ukawa akisema wanashukuru chama kimetua mzigo. Msukuma, ambaye...
View ArticleMkikiMkiki: Mdahalo ulioshirikisha ACT-Wazalendo, ADC, UKAWA na UPDP
Video ya mdahalo wa pili wa #MkikiMkiki kuhusu UTAIFA uliowashirikisha wawakilishi kutoka ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi (UKAWA), ADC na UPDP. [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleGazeti la MwanaHALISI kuuzwa tena mitaani kuanzia Leo
Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers LTD, inayochapisha na kusambaza gazeti la MwanaHALISI akionesha waandishi wa habari (hawapo pichana) nakala ya gazeti la...
View ArticleChama cha Syriza chashinda:Ugiriki
Alexis Tsipras akishangilia ushindi Ugiriki Chama cha mrengo wa kushoto nchini Ugiriki cha Alexis Tsipras kimerejea tena madarakani nchini humo baada ya kushinda duru ya pili ya uchaguzi. Kwa kura...
View ArticleBurkina Faso:"rasimu ya mkataba wa kisiasa ya kumaliza mgogoro”
Nje kidogo ya hoteli Laico ambapo mazungumzo yameendelea Jumapili hii, Septemba 20, 2015. Na RFI Wasuluhishi wa ECOWAS wamependekeza Jumapili hii jioni mjini Ouagadougou “mkataba wa kisiasa wa...
View ArticleYet One College Writing Agency Is Closely Inspected. Loser or Profy?
Grade-miners is the seasoned writing service which has drawn the wide the circle of admirers. Graduates around the world entrust their study complications to this particular service. What exactly...
View ArticleJenerali Diendere kurejesha madaraka
Jeneral Gilbert Diendere Jenerali Gilbert Diendere aliyefanya mapinduzi nchini Burkina Faso amesema kuwa yupo tayari kukabidhi serikali kwa utawala wa kiraia kama ilivyopendekezwa na wapatanishi....
View ArticleWalker ajitoa mbio za urais Marekani
Scott Walker Scott Walker, ambaye ni miongoni wagombea waliokuwa wakiwania kuteuliwa kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho. Bwana...
View ArticleMgombea Mwenza CCM Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani
Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. Baadhi...
View ArticleDk Magufuli asema hakuomba Urais kutafuta fedha bali kuwafanyia kazi wananchi
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba. Dk Magufuli amesema kuwa yeye alipoamua kugombea urais hakufuata fedha...
View ArticleWhy Men and Women Think about Life So Differently!
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleWizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO...
View ArticleSelcom yaleta mfumo mpya na wa kisasa wa malipo ya tiketi za tamasha la...
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wahudhuriaji wa tamasha la ‘KiliFest’ wataweza kutumia Selcom Card kupata tiketi za tamasha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Bia ya Kilimanjaro Premium Lager...
View ArticleBomu Lalipuka Ikulu Somalia, Lauwa 6
BOMU lililotegwa ndani ya gari limelipuka karibu na lango kuu la jumba la rais katika mji mkuu wa Mogadishu. Takriban watu sita wamefariki, ikiwemo walinzi wa rais.Raia mmoja wa Uturuki pia aliuawa....
View ArticleDucati Announces 2016 Diavel Carbon Black
While we await for Ducati to unveil the rest of the lineup at the upcoming EICMA 2014 motor show, Ducati has given us a sneak peak of what is the… Visit the link above to read the full story. [via...
View Article