Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Presha ya ubunge CCM yapanda

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza kurudiwa kwa kura za maoni kesho katika majimbo matano nchini, kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza wakati wa mchakato wa upigaji kura hizo. Wakati agizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu Atia AIBU……Anaswa Akibadilishana ‘MATE’ na Mwanaume Hadharani

Licha ya kudai kwamba skendo za ngono sasa basi, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amekwaa aibu mpya baada ya picha zake kunaswa akiwa na mwanaume mwingine kwa mara nyingine, mwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yasifu maandamano ya Lowassa

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe amesema wamefurahishwa na amani iliyotawala wakati wa maandamano ya kumsindikiza mgombea wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Slaa aikana twitter inayomzushia mazito

Wakati kukiwa na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikimuhusisha Dk Willibrod Slaa na akaunti ambayo imekuwa ikitoa msimamo wake wa kujitenga na shughuli za siasa pamoja na Ukawa, katibu huyo mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku ya kimataifa ya vijana duniani yaadhimishwa kwenye viwanja vya Mnazi...

Maandamano  yakiongozwa na bendi ya jeshi la polisi A ds by SaveP a s s  v 2 .2 Ad   O pt i o n s   Baadhi ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja vya mnazi mmoja wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Tigo yapata tuzo ya maonesho ya Nanenane kitaifa mkoani Lindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza ya kipengele cha mawasiliano kwa Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara yakanusha kuwepo ebola nchini

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Seif Rashid. Dar es Salaam .Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imefafanua kuwa hakuna uthibitisho kwamba mkimbizi aliyekufa kwenye kambi ya Nyarugusu mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Said Nkumba ahama CCM, ajiunga Chadema

Mbunge wa Sikonge Said Nkumba akipokea  kadi ya Chadema. Mbunge wa Sikonge, CCM, Said Nkumba ametangaza kukihama hicho na kujiunga na Chadema, kwa madai CCM ‘haina mapenzi na watu’. Nkumba anakuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wacharukia ushindi wa Nape Mtama

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Nape  Nnauye. Lindi.   Hali katika Jimbo la Mtama si shwari baada ya kundi la wananchi kufanya maandamano ya kukataa matokeo ya kura za maoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK: Wajumbe NEC wana kazi kubwa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete . Dodoma .  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete jana alifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho huku akikiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete, Lowassa uso kwa uso

Kutoka kushoto ni Rais Jakaya Kikwete akiwa na aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa. Moshi.  Sasa ni dhahiri kuwa mazishi ya mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo yanayofanyika leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku 64 za mtifuano

Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi wakimsikiliza aliyekuwa akiwania kuteuliwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo, Suleiman Mathew aliyeshindwa katika mchakato wa kura za maoni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Energy Bands of Silicon

Silicon is a kind of semiconductor material whose number of free electrons is less than conductor but more than that of insulator. For having this unique characteristics, silicon has a vast...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diode,Working Principle and Types of Diode

What is a Diode? A diode is a simple electrical device that allows the flow of current only in one direction. So it can be said to act somewhat like a switch. A specific arrangement of diodes can...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Op-amp,Working Principle of Op-amp

An operational amplifier or OP-AMP is a DC-coupled voltage amplifier with a very high voltage gain. Op-amp is basically a multistage amplifier in which a number of amplifier stages are interconnected...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Light Dependent Resistor | LDR & Working Principle of LDR

What is a Light Dependent Resistor or a Photo Resistor? A Light Dependent Resistor (LDR) or a photo resistor is a device whose resistivity is a function of the incident electromagnetic radiation....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je Madereva watafanya mgomo kesho?, maneno ya naibu katibu yako hapa

Leo  Agosti 16 kulikuwa na mkutano wa madereva wa mabasi ulifanyika katika ukumbi wa kimara resort Dar es salaam na kuahamua haya yafuatayo….. kwa mujibu wa Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kingunge Ngombale Mwiru Avuliwa Ukamanda wa UVCCM Taifa.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Polisi Watumia Mabomu ya Machoz Mwanza Kuwatawanya wafuasi wa...

Muda  huu  polisi  wanapiga mabomu  uwanja  wa  ndege   jijini  Mwanza kuwatawanya  wananchi  waliokusanyika  kumpokea  Lowassa. Mabomu  yamepigwa  muda  mfupi  baada  ya  ndege  inayosadikiwa  kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Ahutubia Baraza la Vijana wa CCM ( UVCCM) Jijini Dar

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM.  Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live