Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua...
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amekanusha kupiga marufuku maandamano ya kumsindikiza Lowassa Kuchukua fomu ya kugombea urais ofisi za tume ya taifa ya...
View ArticleHapa Kuna Picha 10 za ‘Mafuriko’ ya Lowassa Yakijiandaa Kuelekea Ofisi za...
Picha 8 za ‘Mafuriko’ ya Lowassa Yakijiandaa Kuelekea Ofisi za Tume ya Taifa Kuchukua Fomu ya Urais Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi akiwasili makao makuu ya CUF...
View ArticleMakamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akana Kuhamia UKAWA
OFISI ya Makamu wa Rais inasikitika kuwepo kwa taarifa ambazo zimesambaaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib...
View ArticleJiji la Dar Lasimama: Hapa Kuna Picha 8 za LOWASSA Akisindikizwa Ofisi za NEC...
Picha 8 za LOWASSA Akisindikizwa Ofisi za NEC na Maelfu ya Wananchi Kuchukua Fomu ya Urais [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMbowe Augua Ghafla Akimbizwa Muhimbili
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana aliugua ghafla akiwa katika maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward Lowassa baada ya kuchukua fomu za kugombea urais katika...
View ArticleLOWASSA: Haijawahi Tokea Tangu Nchi Hii Ipate Uhuru
MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mwakilishi wa UKAWA, Edward Lowassa alishtushwa kupokewa na umma mkubwa uliohudhuria wakati akichukua fomu za...
View ArticleVIDEO:Lowassa Amtuhumu Rais Jakaya Kikwete Kwa Kuuharibu Uchumi wa Tanzania……...
EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania. Akizungumza na wafuasi wa Chadema pia UKAWA katika ofisi za Chadema mara baada ya kuchukua fomu ya...
View ArticleMagufuli Aahidi Ushindi wa Tsunami CCM……Asema Wapinzani Wataishia Kupiga...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga. Dk Magufuli...
View ArticleLOWASSA Awa Kivutio Kwa Vijana……Wajitokeza Barabarani na ‘MAJENEZA’ Wakimtaka...
MAKUNDI ya vijana jana yalionekana kumiminika mithili ya kumbikumbi warukapo wakati wa masika wakimsindikiza mgombea urais Edward Lowassa anayewakilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)....
View ArticlePicha 12 ZILIZOTISHA Zaidi Jana Kwenye Msafara wa Lowassa Wakati Akichukua Fomu.
Picha 12 ZILIZOTISHA Zaidi Jana Kwenye Msafara wa Lowassa Wakati Akichukua Fomu. [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleFamilia ya Kawawa ‘Yatupwa’ nje CCM
SIKU chache baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM katika Jimbo la Liwale mkoani Lindi, kaka yake, Vita Kawawa naye ameripotiwa kuanguka...
View ArticleKura za maoni CCM: Mmoja Ahukumiwa jela miaka 3
MKAZI wa Kijiji cha Ishunju, wilayani Missenyi, Sikitu Filemoni (27), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumsababishia mwenzake ulemavu wa kudumu. Hukumu hiyo...
View ArticleWema Sepetu na Lowassa ni ‘Paka na Chui’……Atoa ONYO Kali Kwa Team Wema
Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii jana kupitia mtandao wa Instagram alipost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais...
View ArticleHabari Mpya Kutoka MUHIMBILI Ambako Freeman Mbowe Amelazwa Baada ya Kuugua...
Hali ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai anayemaliza muda wake, mh Freeman Aikae Mbowe, imeendelea kuimarika. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita katika...
View ArticleMajenerali 2 waihama kambi ya Machar
Sudan Kusini Majenerali wawili waasi nchini Sudan Kusini wametangaza kwamba wamejitenga na kundi la waasi linaloongozwa na Riek Machar. Gathoth Gatkuoth na Peter Gadet wamesema kuwa sasa wanakabiliana...
View ArticleSyria:Makubaliano ya amani yatekelezwa
Syria mazungumzo Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa saa 48 yameanza kufanya kazi kati ya muungano wa waasi Syria na vikosi vinavyoiunga serikali mkono katika miji mitatu. Makubaliano hayo ya muda...
View ArticleMarikana:Familia zaishtaki serikali
Marikana Familia za wachimbaji mgodi 37 waliouawa na polisi nchini Afrika Kusini wakati wa mgomo mnamo 2012 wamewasilisha kesi dhidi ya serikali. Jamaa hao wanadai malipo kwa kupoteza kipato, na...
View ArticleThamani ya Yuan yapunguzwa tena
Thamani ya sarafu ya Yuan yashukishwa tena Uchina kwa mara nyengine imepunguza thamani ya sarafu yake, Yuan, ikilinganishwa na dola, kwa siku ya pili mfululizo. Hatua hiyo imeshtua masoko ya hisa kwa...
View ArticleCourtois nje ya mtanange wa Man City
Thibaut akipewa kadi nyekundu Mlinda mlango wa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza Thibaut Courtois ataukosa mtanange dhidi ya Manchester City baada ya rufaa yake dhidi ya kadi nyekundu alioipata...
View ArticlePedro Rodriguez awabeba Barcelona
Pedro Rodriguez akiwa kazini Mchezaji aliyeingia kutokea benchi Pedro Rodriguez aliifingua timu yake bao la ushindi katika dakika za nyongeza ambapo Barcelona walishinda kombe la Eefa Super Cup mchezo...
View Article