Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msafara wa baiskeli Dar Es Salaam

Mamia ya waendesha baiskeli walijitokeza kwenye msafara katika barabara za mji wa Dar es Salaam kwa lengo la kuhamasisha wananchi kutumia zaidi usafiri huo kwa ajili ya afya bora huku wakiitaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu, Jokate Waungana Kumpiga Vijembe Diamond

Mwigizaji Wema Sepetu na staa wa single ya ‘leoleo‘ Jokate ambao wamekuwa  mapenzini na Diamond Platnumz kwa nyakati  tofauti baada ya kutolewa tuzo za KILI 2015 nchini Tanzania ambako Ali Kiba...

View Article


Akina Mama Waandamana Kudai miili ya Waliouawa na Askari Kwa Kupigwa Risasi...

KINAMAMA kutoka Kata ya Bukundi Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wameandamana hadi kwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Erasto Sima, kushinikiza wapewe miili ya vijana wao wawili waliouawa na askari Mei 29, mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magereza yaaswa kuruhusu wafungwa kujiandikisha BVR

JESHI la Magereza nchini limeshauriwa kuhakikisha wanaruhusu wafungwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kupitia mfumo wa kielektroniki (BVR), unaosimamiwa na Tume ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwili wa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba...

MWILI wa  Mufti ,Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba unataraji kusafirishwa kesho Jumanne Juni 16, kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya taratibu za mazishi. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeb Bush kugombea urais Marekani

Mwanasiasa wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakurd waukomboa mji wa Tel Abyad, Syria

Wapiganaji wa KiKurd, YPG, kaskazini mwa Syria wanasema wanaudhibiti kikamilifu mji wa kimkakati wa mpakani wa Tel Abyad kutoka kwa wapiganaji wa kundi la Islamic State. Kamanda wa wanamgambo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakili Akanusha Kumtesa "House Girl"

WAKILI wa kujitegemea Yasinter Rechungura (45), ametoa ushahidi Mahakamani na kudai kwamba aliyekuwa mfanyakazi wake wa ndani Merina Mathayo (16), hakuwahi kumpiga wala kumjeruhi badala yake...

View Article


Basi la timu ya Taifa, Taifa Stars Lapigwa Mawe.

Watu wasiojulikana wamelishambulia kwa mawe basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars maeneo ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Basi hilo lililokuwa limebeba baadhi ya wachezaji wa timu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Aongoza Maziko ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Muft Issa Shaaban Simba

Rais Jakaya Kikwete  jana jioni  ameongoza maziko ya sheikh mkuu wa Tanzania Muft Issa Shaaban Simba aliyefariki jana katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam. Maziko hayo yalifanyika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Confirmed: Wema Sepetu Kugombea Ubunge Mwaka Huu.

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu jana June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM alifunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mmarekani amuuliza JK utitiri wa wagombea urais

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudani ya Kusini (kushoto),  Riek Machar Teny Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini Johannesburg, Afrika ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili avinyoshea kidole vyama vya siasa, ataka viheshimu Sheria ya Uchaguzi

Msajili wa vyama ya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi akizungumza wa waandishi Dar s Salaam jana kuhusu gharama ya sheria za uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Kushoto ni Msajili Msaidizi gharama za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo

Dar es Salaam. Umoja wa watendaji wakuu wa kampuni wa CEO RoundTable (CEOrt) umeandaa mdahalo wa kuzungumzia mbio za urais utakaowahusisha viongozi wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba, Dk...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mo Farah alikosa kufanyiwa ukaguzi 2010

Medali za dhahabu alizoshinda mwanariadha wa Uingereza Mo Farah huenda ndizo zilizotawala mbio za mwaka 2012 mjini London.Lakini sasa huenda dhahabu hizo zipo hatarini. Kulingana na gazeti la Daily...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Man City yatoa milioni 35 kumnunua Sterling

Klabu ya Manchester City imeimarisha ombi la kumsajili mashambulizi machachari wa Liverpool Raheem Sterling. Mabingwa hao wa mwaka wa 2014 wametoa pauni milioni 35 sawa na dola milioni 55 kusajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madada 3 wa Bradford waliingia Syria

Madada watatu kutoka mjini Bradford nchini Uingereza na watoto wao tisa wanaohofiwa kusafiri kuelekea nchini Syria wamevuka mpaka ,mfanyibiashara mmoja wa kusafirisha bidhaa kwa njia ya magendo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 35 wafa kwa kunywa gongo India

Watu wapatao 35 wamekufa katika mji wa Mumbai nchini India baada ya kunywa pombe haramu. Wengi wao wamelazwa hospitali. Waziri kiongozi wa jimbo la Maharashtra ametaka ufanyike uchunguzi, watu watatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kliniki ya wanaume waliobakwa Sweden

Hospitali moja mjini Stockholm nchini Sweden inatarajiwa kufungua kliniki ya kwanza ya wanaume waliobakwa. Hospitali ya South General Hospital tayari ina eneo linalotoa huduma ya dharura kwa wanawake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Raia wa Liberia awania uongozi wa FIFA

Mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini Liberia Musa Bility ametangaza mpango wake wa kutaka kuwania urais wa shirikisho la soka duniani FIFA akisema ni wakati wa Afrika kuongoza. Afisa huyo mwenye...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live