Magufuli Afunikla Jijini Mwanza….Tazama Picha 10 Za Mafuriko Yake Wakati wa...
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleZanzibar: Vijana Wawili Wapigwa Risasi Na Vikosi Vya Usalama
Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, taarifa ni kwamba wamepokelewa watu watatu waliojeruhiwa, wawili kati yao wakiwa wamepigwa risasi ambapo mmoja tayari anafanyiwa operesheni baada ya risasi kupitia...
View ArticleTume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yaanza Kutangaza Matokeo ya Urais……Majimbo Matatu...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Majimbo Yaliyotangazwa ni Jimbo la Makunduchi,Pache na...
View ArticleEster Matiko (Chadema) Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti cha Ubunge Tarime...
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Mwanjombe limemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo. Matiko amekuwa mbunge wa kwanza...
View ArticleMaalim Seif Sharif Hamad Ajitangazia Ushindi wa Urais Zanzibar..
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya fomu zote za matokeo kutoka vituoni, yeye...
View ArticleRais Kikwete apiga kura Kijijini Kwake Msoga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura leo katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo. Ofisa katika kituo cha...
View ArticleJust how to Change a Document
Today, the American EPIC study performed by analysts from 10 nations shows that, in case of lung cancer, the main thing isn’t only the number but also all of the fruit consumed, which can reduce the...
View ArticleUpdate Za Matokeo Malimbali Ya Ubunge na Udiwani Zinapatikana Hapa….Karibu
Jimbo la Mkinga Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Mkinga Dustan Kitandula ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo Jimbo la Mbinga Mjini Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la...
View ArticleMabomu ya Machozi Yarindima Zanzibar Kuwatawanya Wafuasi wa CUF Walioingia...
Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi amelazimka kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CUF walioingia barabarani kushangilia ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad...
View ArticleCCM Waongea na Vyombo vya Habari…..Wamesema Hadi sasa Wameshinda Majimbo 176...
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania. Tathmini ya Upigaji Kura Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala...
View ArticleTume Ya Taifa Ya Uchaguzi Imetangaza Matokeo Katika Majimbo Mengine 10……Mpaka...
Tume ya taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi la kutangaza matokeo ya Urais ambapo jioni hii imetoa matokeo ya majimbo mengine 10 Majimbo hayo ni Bumbuli, Kibaha...
View Article230Volt LED Circuit
This is a circuit that is used to menhidupkan LED with voltage 230Volt, 230Volt it so that the voltage must be lowered in accordance with the needs of the LED itself. To lower it even necessary...
View Article1.3V DC to 12.2V DC Regulator Power Supply
Power supply circuit to generate output below were variations between 1.3V DC to 12.2V DC with 1A current. In addition, the power supply circuit is also equipped with over-current protection or shield...
View Article3V Fluorescent lamp voltage source
Fluorescent lamp assembly using only a 3V voltage source. 2 battery which i parallel to supply its circuit of fluorescent lamp . By using the above circuit is very useful if it saves electricity and...
View ArticleGoatis dairy is antimicrobial and is being researched to take care of...
When we employ individuals to present a certain support to us, minimal we anticipate from them would be to supply the service to us to the best of these qualities. A – few occasions occasionally of a...
View Article12 volt fluorescent lamp and transformer equipped
Valid schematic circuit diagrams of fluorescent lamps with a voltage source using 12 volt battery. This circuit 12 volt fluorescent lamp is very useful if the power goes out or can be used in a dark...
View ArticleUpdates Za Matokeo Malimbali Ya Ubunge na Udiwani Zinapatikana Hapa….Karibu
Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Ubunge kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa na Wakurugenzi wenye dhamana hiyo Tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa updates...
View ArticleWaangalizi wa Umoja wa Ulaya Watoa Maoni Kuhusu Uchaguzi Mkuu Tanzania:
Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wamesema uchaguzi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa umeendeshwa vizuri lakini kasoro kadhaa zimesababisha baadhi ya wanasiasa kutilia shaka uhuru wa Tume za Uchaguzi NEC na...
View ArticleJWTZ Yavamia Kijiji Kuondoa Vizuizi Barabarani
Vijana wa Jeshi la Wananchi jana walivamia nyumba za wananchi waliokaribu na barabara kuu ya kutoka Mbeya kwenda Malawi katika wilaya ya Rungwe na kuwataka waamke kuondoa vizuizi vya moto, magogo na...
View ArticleMabasi Ya Zacharia Express Yapigwa Mawe kwa Ushabiki wa Kisiasa
Mabasi mawili ya Kampuni ya Zacharia Express mali ya Pita Zacharia mkazi wa Tarime mjini yanayofanya safari zake Tarime-Mwanza yameharibiwa kwa kupondwa na mawe kwa kile kinachoelezwa ni ushabiki...
View Article