Wanawake na Watoto Waanza Kuodoka Mkoani Mtwara Wakihofia Kutokea Kwa Vurugu...
Shirika la utangazaji la Ujererumani,DW limeripoti leo mchana kuwa idadi kubwa ya watu wameanza kuondoka mkoani Mtwara wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi. Kwa mujibu wa Dw ,watu...
View ArticleSimple Ways to Save the Environment
Creating designs from recycled supplies is among the finest affordable hobbies there is. It’s really a great way to invest time together with your children, also. Generating recycled products can help...
View ArticleHow-to Write in Third Person
Nowadays with university years coming to a detailed and graduates putting their lids inside the air, wheredo Latinos in the La Unified School Center list? Fewer than 40 percentage of Latinos graduated...
View ArticleScholarships with June 2015 deadlines
by: Jason Tarasi –> –> Creating articles and your internet advertising value add capacity together. You’ll find a great number of reasons for to writing articles included in your web marketing...
View ArticleMaking An Internet Doctorate in Degree
same day essays Have you been fearful of wisdom teeth removal? Should you be honest with yourself, chances are you feel at the least slightly of concern of having your wisdom teeth removed in the...
View ArticleTundu Lissu ‘anusa’ bao la mkono Singida Mashariki
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, amesema kwamba anahofia uchaguzi mkuu hautakuwa huru na wa haki akidai kwamba Jeshi la Polisi...
View ArticleHatimaye Mahakama Yatoa HUKUMU Kesi Ya Kukaa Mita 200 Baada Ya Kupiga Kura
Mahakama Kuu Dar leo imetupilia mbali shauri la tafsiri ya sheria ya mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupiga kura. Kwa mujibu wa majaji waliotoa maamuzi hayo wamesema...
View ArticleLowassa Atoa Onyo kwa NEC na Polisi Mchana Huu……Sumaye Asema CCM Wamejipanga...
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi la Polisi...
View ArticlePicha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi...
View ArticlePicha: Magufuli Ahitimisha kampeni za Urais Jangwani Jijini Dar.
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleLowassa Awapigia Kampeni Wabunge na Madiwani wa CCM LEO
Kazi yetu ni kupekua na kukujulisha kinachoendelea hapa Tanzania hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi. Leo mheshimiwa Lowassa alikosea kidogo na kujikuta akiwanadi wagombea...
View ArticleTukumbushane: Kinondoni Iliwahi Kuwa Na Mbunge Mzungu..!
Ndugu zangu, Ni enzi za Mwalimu, aliitwa Derek Bryson, pichani ni wa kwanza kushoto. Alipata pia kuwa waziri wa kilimo na ushirika. Ni imwasisi wa mpango wa kutenga viwanja Sinza ikiwamo miundo mbinu...
View ArticleNasoma Utafiti Ulioongozwa Na Profesa Malyamkono..
Ni wa miaka ya nyuma. Utafiti huu unajibu maswali mengi ya msingi hata kwa wakati huu.Katika wakati kama huu, wachambuzi wa habari wawatafute watu wa aina ya Profesa Maliyamkono watoe uzoefu wao. [via...
View ArticleRais wa Mexico asema kimbunga Patricia bado ni hatari
Kimbunga hicho hata hivyo hakijasababisha uharibifu mkubwa kama ilivyohofiwaRais wa Mexico ameonya kuwa Kimbunga Patricia bado kinaweza kusababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi huku mvua kubwa...
View ArticleHotuba Ya Mh. Edward Lowassa Aliyoitoa Leo Tarehe 24 Kwenye Viwanja Vya...
NDUGU •Watanzania wenzangu •Ndugu wanachama, marafiki na wapenzi wa CHADEMA •Ndugu Viongozi wakuu wa kitaifa na wanachama wa vyama vyetu vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). •Ndugu...
View ArticleHotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kuhusu Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleKada wa CCM amwagiwa Tindikali Tarime
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana Chadema kata ya Sirari na kuhamia chama cha CCM, Weng’ari Mang’era (26) amemwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati wakimpokea mgombea ubunge wa Tarime...
View ArticleAskari Handeni watishia kugoma kusimamia vituo vya kupigia kura
Askari mgambo 114 wilayani Handeni wametishia kugoma kwenda kusimamia vituo vya kupigia kura kutokana na kutolipwa fedha zao kama walivyokubaliana na mkurugenzi. Wakiongea kwa nyakati tofauti leo...
View ArticleKingunge Atoa Maneno Mazito Kwa CCM Na Kikwete
Aliyekuwa kada mkongwe wa CCM, mzee Kingunge Ngombale Mwiru amekishukia chama chake hicho cha zamani na viongozi wake wa sasa kwa madai kuwa ‘kimechanganyikiwa’. Akiongea leo katika mkutano wa kufunga...
View ArticleHaji Duni agundua janja ya CCM,waliopangwa kuchakachua matokeo watajwa
Mgombea Mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,Haji Duni amesema kuwa wamegundua njama iliyopangwa na Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Tume ya uchaguzi kwamba kura zikitoka kwenye vituo...
View Article