Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Slovenia yakabiliwa na ongezeko la wahamiaji

Wahamiaji wakisubiri kuingia Slovenia, Oktoba 19, 2015,Trnovec. Na RFI Slovenia, moja ya nchi ndogo za Ulaya, inakabiliwa na mgogoro wa wahamiaji, baada ya kuzidiwa na “wingi” wa maelfu ya wahamiaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

January Makamba Ataja Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu...

Tarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SMZ yaipongeza UN kwa kuwezesha fursa za kupunguza umaskini na kuinua...

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia) na Mkuu wa ofisi ndogo ya Umoja wa Mataifa Zanzibar, Anna Senga (katikati) wakimkaribisha mmoja wa wageni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa ZSTC, Chakechake, Pemba

  MKURUGENZI Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Mwanahija Almasi Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Mwanamwema Shein Azungumza na Viongozi wa UWT Wilaya ya Mjini Unguja...

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Kawasaki Z125 Is the Honda Grom’s New Competition

The day of the Honda Grom living up the monopoly are about to get over as some spy shots of a certain Kawasaki dubbed as the Z125 have just started… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

New Suzuki Gladius Naked Rumoured For EICMA 2015

With the 2015 EICMA motor show just a month away, there are rumours that Suzuki might be bringing in an properly upgraded Gladius to the show floor…. Visit the link above to read the full story. [via...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (Mb) ALIYOTOA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es salaam.Picha na...

View Article


Full Time ya Tanzania Prisons Vs Simba October 21

Klabu ya  Simba  ambayo Jumamosi October 17 ilicheza na klabu ya  Mbeya City  ya jijini Mbeya  katika mchezo ambao  Simba  hawakuwa na rekodi nzuri dhidi ya  Mbeya City kwani ilikuwa haijawahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto aliyekamatwa na saa wakidhani ni bomu amekaribishwa Ikulu ya Obama.....

Unamkumbuka  Ahmed Mohamed  mtoto kutoka  Dallas, Texas   Marekani  aliyekamatwa na polisi baada ya kupeleka shule saa iliyodhaniwa kuwa ni bomu? Yes,  Ahmed  aliweka headlines nyingi sana  Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 16 Za MAFURIKO Ya Lowassa Huko Tanga- Jana Oktoba 21

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 11 za Mafuriko Ya Magufuli Jijini Dar Es Salaam-Oktoba 21,2015

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Kigamboni,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana uwanja wa Machava Kigamboni . Baadhi ya wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi Ya Kukaa Mita 200 Ni Kaa La Moto…….Mawakili Watoana Jasho Kwa Vifungu...

Mvutano mkali wa hoja za kisheria ulitikisa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana wakati Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Ackson alipoiomba mahakama itupilie mbali maombi ya...

View Article

Simple Approaches To Conserve the Environment

Reflective essay writing is really an element of composition that is English which is a touch simpler to compose from other forms of dissertation writing somewhat. A reflective composition relies on...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sentensi 10 za mke wa Marehemu kuhusu ajali, picha za Marehemu na kifo cha...

October 22 2015  ni wiki ya tatu zimepita tangu aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Democratic Party  (DP) Mchungaji  Christopher Mtikila  afariki kwa ajali ya gari ndogo eneo la  Msolwa , Chalinze Mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya mashabiki wa Man City kuzomea wimbo wa UEFA, klabu yao kukumbana na...

Klabu ya  Manchester City  ya  Uingereza  ambayo usiku wa October 21 ilicheza mechi dhidi ya klabu ya  Sevilla  katika uwanja wake wa nyumbani wa  Etihad . Kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22

Ligi Kuu soka  Tanzania  bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne,   JKT Ruvu  walikuwa wenyeji wa   Mtibwa Sugar  ya  Morogoro katika uwanja wa  Karume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Jeshi (IGP) Apiga Marufuku Mikusanyiko ya Watu siku ya Kupiga Kura

Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya  kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani. Pia, Jeshi hilo limesema mikusanyiko ya aina yoyote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nape Nnauye Apata AJALI Mbaya Ya Gari Akitokea Dar Kwenda Lindi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live