Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Baada ya mashabiki wa Man City kuzomea wimbo wa UEFA, klabu yao kukumbana na adhabu hii…

$
0
0

Klabu ya  Manchester City  ya  Uingereza  ambayo usiku wa October 21 ilicheza mechi dhidi ya klabu ya  Sevilla  katika uwanja wake wa nyumbani wa  Etihad . Kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao klabu ya  Manchester City  iliibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Sevilla  kuna tukio lilijitokeza ambalo huenda litaigharimu  Man City . Usiku wa mechi hiyo kabla ya kuanza kwa mchezo wakati wimbo wa  UEFA  unaimbwa mashabiki wa klabu ya  Man City  walizomea wimbo huo, hivyo  tukio hilo lazima  Man City watapigwa faini kutoka kwa shirikisho la soka barani  Ulaya .  Man City  inatajwa kupigwa faini ila bado haijajulikana kama itatozwa kiwango cha kawaida au zaidi. Video ya mashabiki wakizomea wakati wa wimbo huo. Mashabiki hao walizomea wakati wa wimbo huo kutokana na  UEFA  kuingiza kipengele cha  Financial Fair Play penalties   (FFP)  kwa mwaka uliyopita kitu ambacho mashabiki hao hawakubaliani nacho. Mashabiki hao wanaamini  UEFA  wanataka kuitoa klabu yao katika muundo wa kiundeshaji wa kisomi.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2247

Trending Articles