Kesi ya Askari Polisi Kuiba silaha, Risasi Yaahirishwa
KESI ya wizi wa silaha aina ya SMG na risasi zake 42 inayomkabili aliyekuwa Konstebo wa Polisi, GX 7274, Hamad Taimu Shilingi (25) katika Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeahirishwa...
View ArticleBaraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA) lamteua Sheikh Aboubakar Zuberi...
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) asubuhi ya leo limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda. Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90) kuelekea...
View ArticleNape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono
Sengerema. CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25. Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema...
View ArticleKamati yakubali kuondoa Muswada wa Habari
Dodoma/Dar . Muswada wa Haki ya Kupata Habari uliokuwa usomwe, kwa mara ya pili Jumamosi wiki hii, uko kwenye hatihati baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kukubali uondolewe na...
View ArticleAmina Salum Ali ampigia chapuo Dk Shein
Dar es Salaam. Balozi Amina Salum Ali amesema Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, Dk Ali Mohamed Shein bado anastahili kupewa nafasi ya kuongoza Wazanzibari. Balozi Amina ambaye ni Balozi wa...
View ArticleKarenzi Karake akamatwa Heathrow
Mkuu wa upelelezi nchini Rwanda,ambaye alikuwa anasakwa nchini Hispania kwa makosa ya uhalifu wa kivita,sasa amekamatwa mjini London. Kitengo cha habari cha BBC cha BBC Newsnight, kimegundua kwamba...
View ArticleWatoto 48 waokolewa, Ivory Coast
Watoto wapatao 48 wameokolewa katika mashamba ya Kakao walikokuwa wakitumikishwa kusini Magharibi mwa Ivory Coast. Shirika la Kimataifa la Polisi la Interpol limesema pia limewakamata wafanyabiashara...
View Articlewatu ishirini wafariki dunia Nigeria
Watu ishirini wamefariki dunia kutokana na shambulio la kujitoa muhanga katika soko la wachuuzi wa samaki lililokuwa limefurika watu eneo la Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Watu wengi walikuwa...
View ArticleAlama yawaelekeza wateja kwenye ngono
Kampuni ya chakula Heinz imeomba msamaha baada ya alama ya siri katika mkebe mmoja wa Tomato Ketch Up kuwaelekeza wateja katika mtandao wa ngono. Kampuni hiyo hiyo imesema kuwa alama hiyo ya siri...
View ArticleWananchi wala ubuyu kutokana na njaa-Manyoni
MBUNGE wa Manyoni Mashariki, Kapteni John Chiligati, amesema baadhi ya wananchi jimboni kwake wameanza kula ubuyu kutokana na kukabiliwa na tatizo la njaa. Katika swali lake bungeni jana, Mbunge huyo...
View ArticleACT-Wazalendo yalia na rasilimali nchi
CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema kitaleta sera mahususi na zenye mapinduzi kuhusu utajiri wa nchi unavyopaswa kuwa na faida kwa wananchi wake. Hayo yalisemwa na Kiongozi wa chama hicho, Zitto...
View ArticleSerikali Yaondoa Muswada Kandamizi wa Habari
HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa bungeni Muswada wa Sheria ya Upatikanaji wa Habari wa mwaka 2015. Muswada huo, ambao unapingwa na wadau wa habari, ulikuwa usomwe leo bungeni kwa mara ya pili na...
View ArticleMwakyembe, Jaji Ramadhani wagongana Tanga
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe na Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani, jana walikuwa mkoani Tanga kwa ajili ya kusaka wadhamini ili waweze kukamilisha sharti la kuomba ridhaa...
View ArticleWema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba
Ishu ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti....
View ArticleSugu Atoa Chozi Bungeni kisa Mtoto Wake ……..Naibu Spika Aamuru Mjadala wa...
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amejikuta akiangua kilio bungeni baada ya kutoa hoja binafsi kumjibu Mbunge wa viti maalum wa Singida ‘CCM’ Martha Mlata, aliyemshutumu kwa kumpora mtoto...
View ArticleMwandosya Arejesha Fomu za Urais
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amerejesha fomu zake za kuwania kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya urais. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya...
View ArticleMashine ya BVR Yaibiwa Jijini Mwanza, wawili watiwa mbaroni
Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana, waliiba mashine moja inayotumika kwa ajili ya kuandikishia vitambulisho katika daftari la kudumu la wapiga kura (BVR) katika kata ya Kayenze wilayani Magu...
View ArticleDC motor controller
Are you familiar with all the applications of 555 timer circuits? If not, we can help you. We all know that for better understanding, the best source is an authenticated book on the subject....
View ArticleH Bridge motor control circuit using L298
Description : A bidirectional H bridge DC motor control circuit is shown here. The circuit is based on the IC L298 from ST Microelectronics. L298 is a dual full bridge driver that has a wide operating...
View ArticleNEC yaahirisha uandikishaji kwa BVR Dar es salaam
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji jijini Dar es salaa pamoja na mkoa wa Pwani kwa kutumia mashine za BVR lililokuwa linategemewa kuanza rasmi tarehe 4.7.2015 jijini Dar es...
View Article