Diwani Wa CUF Auawa Kwa Kucharangwa Mapanga Na Watu Wasiojulikana
Diwani wa kata ya Kimwani iliyoko Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera, Silvester Miga (CUF) amepoteza maisha baada ya kuvamiwa na kukatwa na mapanga nyumbani kwake, usiku wa kuamkia jana. Kamanda wa Polisi...
View ArticleCRDB Yawatoa Hofu Wateja Wake Baada Ya Serikali Kuagiza Akaunti za Taasisi...
(Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu serikali kuhamishia akaunti zote za mapato Benki Kuu. Kulia ni Mkurugenzi...
View ArticleAfande Sele Atoa Wosia….Asema Akifa Achomwe Moto Badala ya Kuzikwa
Msanii Afande Sele ambaye anawakilisha mkoa wa Morogoro katika muziki amefunguka na kusema kuwa hataki kuja kuwa binadamu tena bali anahitaji kuwa Malaika. Afande Selle alisema hayo kupitia kipindi...
View ArticleMke wa Kafulila Amlipua Dr. Mwakyembe Kuhusu Sakata La Mabehewa...
Sakata la ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yanayodaiwa kuwa mabovu liliibuka jana Bungeni na kumuinua Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa...
View ArticleRais Mugabe bila woga kaeleza yote aliyoambiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete...
Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa Ethiopia ni kauli anayodai aliambiwa na Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete...
View ArticleTamko La Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini
Tamko Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini Lililotolewa Na Mhe. Ummy Mwalimu (mb); Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Tarehe 1 Februari 2016 Ndugu Waandishi wa...
View ArticleWabunge Wa Upinzani Wagoma Kuteua Wenyeviti PAC Na LAAC
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kutokana na Spika wa Bunge kuteua kibaguzi wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge, wabunge wa upinzani hawatashiriki uchaguzi wa wenyeviti wa...
View ArticleMbunge Joseph Msukuma Kasheku Ataka Serikali Ihalalishe Bhangi na Mirungi...
Mbunge wa Geita vijijini kwa tiketi ya CCM, ndugu Joseph Kasheku (Msukuma) ameishauri serikali kuruhusu kisheria kilimo cha Bhangi na Mirungi ili kuiwezesha kujipatia fedha za kigeni...
View ArticleA Complete Guide To The 2016 MotoGP Season
If you are a follower of motorcycle racing, then you would be quite aware about the incidents that took place in the 2015 MotoGP season. Many were… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleSakata La Mauaji Ya Diwani Wa CUF Lachukua Sura Mpya
Mauaji ya kikatili ya Diwani wa Kata ya Kimwani, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Sylvester Muliga (CUF), yameanza kuibua mambo mazito huku ikielezwa kuwa Ijumaa alikuwa awasilishe hoja kwenye Baraza...
View ArticleWabunge Wa CCM Waungana Na Upinzani Kuibana Serikali Kuhusu Ujenzi Wa Reli,...
Bila kujali itikadi za vyama vyao, wabunge wameukosoa mwongozo wa kuandaa mpango wa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2016/17, wakihoji suala la ujenzi wa reli ya kati kwa viwango vya kimataifa...
View ArticleMbowe Aanza Kulisuka Baraka Kivuli La Mawaziri
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoa mwelekeo wa upangaji wa uongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni na baraza kivuli la mawaziri, huku akionyesha kambi hiyo kuwa tayari kushirikiana na...
View ArticleJela miaka 5 kwa kusafirisha Wahamiaji Haramu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imewahukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 kila mmoja, dereva Hansi Mwakyoma (28) na utingo wake, Alex Adam (32) baada ya kukamatwa...
View ArticleTRA Yaendelea Kuikaba Koo StarTimes
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema Kampuni ya StarTimes inayouza ving’amuzi kwa ajili ya ‘chaneli’ mbalimbali za televisheni, ikiwamo Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) inafanya biashara ya...
View ArticleBodaboda Agonga Gari Na Kufariki Papo Hapo
DEREVA wa bodaboda, Colnery Mpande (18), mkazi wa Kiluvya Kwa Komba, amekufa baada ya pikipiki aliyokuwa akiiendesha kugonga gari kwa nyuma na yeye kuangukia barabarani na kukanyagwa kichwa na gari...
View ArticleAhadi Ya Rais Mtaafu Kikwete Yaibuliwa Bungeni
Ahadi iliyotolewa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, Januari 25, mwaka 2008, jana ilizua maswali bungeni baada ya Mbunge wa Dimani (CCM), Hafidhi Ali Tahil, kuhoji ni lini Serikali itaanza...
View ArticleWaziri Wa Mambo Ya Nje Augustine Mahiga Ala Kiapo Bungeni Akiwa Mpweke
Kiapo cha uaminifu cha Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kimataifa, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga jana, kilikuwa sawa na viapo vingine, lakini alikosa vionjo kama ilivyokuwa kwa...
View ArticleMatukio Bungeni JANA.
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akuungia Bungeni tayari...
View ArticleArticle: Re-assess Policy on Private Sector Education
The on-going rift between the Government of Tanzania and owners of private schools over the government’s decision to regulate and dictate tuition and other fees charged by private schools in the...
View ArticleJaji Mkuu Wa Kenya Ataka Mazungumzo Yaendelee Kumaliza Mzozo Zanzibar
Jaji Mkuu wa Kenya Dk Willy Mutunga ameshauri kuendelea na mazungumzo ya kutafuta suluhu ya kisiasa Zanzibar kwa lengo la kuimarisha Muungano wa Tanzania, huku akionesha hofu kuwa ukivunjika unaweza...
View Article