Mawaziri wa awamu ya Tatu, Basil Mramba na Daniel Yona sasa kutumikia kifungo...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya...
View ArticleMaandammano ya CHADEMA Kesho Kuelekea Ikulu Yapigwa Marufuku
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuelekea Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleJanuary Makamba Awapa Makavu Wapinzani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, amewataka baadhi ya wabunge wa upinzani kuwa na lugha nzuri dhidi ya serikali ili waweze kupata ushirikiano mzuri na viongozi hao pamoja na serikali. Waziri wa...
View ArticleMbowe Atangaza Baraza lake la Mawaziri Bungeni Leo
Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametangaza baraza lake la mawaziri kivuli leo bungeni mjini Dodoma. Mbowe, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chadema ametaja...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumamosi Ya Februari 6
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMbowe Amtosa Zitto Kabwe Baraza La Mawaziri
Kambi rasmi ya upinzani bungeni, imetangaza baraza lake la mawaziri kivuli ambalo Chama cha ACT Wazalendo, chenye mbunge mmoja, Kabwe Zitto, ndicho hakikuingizwa kwenye baraza hilo. Kiongozi wa kambi...
View ArticleWaasi Wa Burundi Wakimbilia Nchini Kushawishi Watanzania Wajiunge Na Vikundi...
BAADHI ya askari waasi wa Burundi, wamebainika kukimbilia nchini na kuanza kushawishi vijana wajisajili ili wajiunge na vikundi vya waasi. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema hayo jana alipokuwa...
View ArticleLowassa Afunguka……..Asema Kuitwa FISADI Kulimfanya Ajiondoe CCM Na Kuhamia...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema kusakamwa kwa maneno ya kejeli, vijembe na vitisho, kuitwa gamba na fisadi ndani ya...
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Serikali Asema Rais Magufuli Hana Mamlaka Kikatiba Ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amesema Rais John Magufuli hana mamlaka ya kikatiba ya kuingilia masuala ya Zanzibar ukiwamo uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20. Hii ni...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumapili Ya Februari 7
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleSherehe za Miaka 39 ya CCM: Rais Magufuli Atuma Salamu Kwa Watendaji Wavivu...
Rais John Magufuli amewataka watendaji wote wa serikali kuhakikisha kuwa wanatekeleza ipasavyo matakwa ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndicho kinachoongoza nchi kwa sasa. Magufuli ametoa...
View ArticlePolisi Watatu Wafa Ajalini Msafara wa Rais Magufuli
Askari polisi watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya gari lao lililokuwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli kutoka Singida kwenda Dodoma, kupasuka tairi na kupinduka. Rais...
View ArticleMwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete Asema CCM Ilisikitishwa Sana na Uamuzi wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza rasmi kuachia kiti hicho kabla ya mwezi Februari mwakani, huku akisema CCM imesikitishwa na uamuzi wa ZEC kufuta uchaguzi wa...
View ArticlePicha Za Maadhimisho Ya Miaka 39 Ya CCM Kitaifa Mkoani Singida
Msafara wa Mh. Rais John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida tayari kwa kuhudhuria sherehe hizo. Mh.Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Mh....
View ArticleZAWADI DOTTO AIBUKA MSHINDI WA MASHINDANO YA URIMBWENDE YA "MISS ALBINISM 2016"
Mrimbwende Zawadi Dotto (Pichani) ameibuka kidedea katika Mashindano ya Miss Albinism Kanda ya Ziwa yaliyofanyika usiku wa Kuamkia leo Jijini Mwanza. Miss Zawadi mwenye umri wa miaka 17 (mwanafunzi)...
View ArticleMakampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kufadhili Michuano ya Kimataifa ya...
Makamu Mwenyekiti wa Balraza la Michezo Zanzibar BMZ akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa timu za JKU na Mafunzo za mchezo wao wa Kombe la CAF inayotarajiwa kufanyika katika Uwanja...
View ArticleTriumph Bonneville Forty By Rustom Italy
Rustom have come up with their new Triumph Forty which is a new generation cafe racer. Rustom, which is formed by two pillars, Mattia and Roberto is… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleThis BMW R100 From Kingston Customs Comes With A Porsche Turbocharger
This BMW R100 with Porsche turbocharger by Kingston Customs has bought a whole new meaning to custom bikes. After incorporating Porsche bits onto a… Visit the link above to read the full story. [via...
View ArticleRais Magufuli Aomboleza Vifo Vya Askari Waliofariki Dunia Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Ernest Mangu kufuatia vifo vya askari watatu...
View Article