Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Cut-away view of a smart temperature transmitter.Honeywell

Standard temperature transmitters generally send a 4–20 ma. signal to indicate the temperature. They are calibrated for a specific range of temperature such as 0 to 100 degrees. Standard transmitters...

View Article


Limit Switches Explained

 The automatic operation of machinery requires the use of switches that can be activated by the motion of the machinery. The repeat accuracy of the switches must be reliable and the response virtually...

View Article


Neutral grounding transformers

Neutral grounding transformers When a neutral grounding reactor or ground-fault neutralizer is required in a three-phase system and no suitable neutral is available, a neutral must be provided by...

View Article

Magazeti ya Leo Jumapili ya Februari 21

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Wananchi wavamia kituo cha Polisi,Watatu watiwa mbaroni.

Watu watatu wamekamatwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuvamia Kituo cha Polisi cha Duthumi na kuvunja mlango kwa lengo la kuwatoa wenzao watatu wanaotuhumiwa kwa wizi wa mifugo. Kaimu...

View Article


Kama ulisoma chuo kwa Mkopo toka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu ujue...

BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa onyo kwa wadaiwa sugu ambao hawajajitokeza kuanza kulipa madeni yao, kwamba hatua mbalimbali dhidi yao zinatafuata kokote waliko. Miongoni mwa hatua hizo,...

View Article

Museveni ndiye mshindi wa uchaguzi wa Uraisi Nchini Uganda,

Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi.    Rais Museveni amepata kura 5,617,503 sawa na asilimia 60.75 ya kura...

View Article

Chama cha ACT Wazalendo Chamvua Uanachama Ofisa Mipango Na Aliyekuwa Mgombea...

Chama cha ACT Wazalendo kimemsimamisha uanachama Ofisa Mipango wake, Ali Makame Issa kwa madai ya kukiuka maadili ya chama hicho. Hata hivyo, Issa alisema jana kuwa hajapokea taarifa yoyote kutoka...

View Article


Yanga yachukua point tatu kwa Simba kiulaini

Kitendawili cha nani mbabe kati ya watani wa Jadi wa Msimbazi na Jangwani kimekamilika baada ya Simba kufungwa bao 2-0 kwa mara ya pili ndani ya miaka miwili, ndani ya uwanja wa Taifa jijini Dar es...

View Article


Mungai Arejesha Serikalini Ardhi Aliyokuwa Amejimilikisha Kinyemela

Waziri zamani, Joseph Mungai amerejesha sehemu ya ardhi ya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi, aliyodaiwa kuihodhi kinyume cha sheria. Baada ya hatua hiyo ya Mungai ambaye aliwahi pia kuwa Mbunge wa...

View Article

Built For Ryan Reynolds – Triumph Thruxton By Kott Motorcycles

This kind of built becomes quite obvious when two fans of cafe racers from an antiquated machine shake their greasy hands. One, a humble builder who… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Addict Clothes x Deus Ex Machina Jacket

Addict Clothes of Japan in collaboration with Deus Ex Machina have introduce a special, very exclusive range of motorcycle leather jackets that take… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Magazeti ya Leo 22 feb 2016 Jumatatu

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaya masikini 40,218 Singida zanufaika na pesa za TASAF

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Singida umetoa msaada zaidi ya shilingi 11.2 bilioni kwa ajili ya kunusuru kaya masikini 40,218 kati ya Septemba 2014 na Desemba mwaka jana. Hayo yamesemwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya soka ya Singida United yapanda daraja

TIMU ya soka ya Singida United ya mjini Singida, hatimaye imekata tiketi ya kucheza ligi daraja la kwanza mwaka huu baada ya kuifunga bila huruma timu ya Abajalo F.C. ya wilayani Igunga, Mkoani Tabora...

View Article


Timuatimua yaanza Chadema Mkoani Mbeya

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, John Mwambigija pamoja na wajumbe wa kamati ya utendaji ya wilaya hiyo wamevuliwa uongozi kwa kile kilichodaiwa kuwapo kwa msuguano miongoni mwao.   Uamuzi...

View Article

Taarifa ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa Kukanusha Habari Iliyoandikwa Na Gazeti...

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article


Paul Makonda Na Meya Wa Kinondoni ( Chadema ) ‘ Wavutana ‘ Kuhusu Mipaka Ya...

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob na Mkuu wa wilaya hiyo, Paul Makonda wameingia kwenye mvutano kuhusu kuvuka mipaka ya utendaji wa halmashauri hiyo. Mvutano huo umekuja...

View Article

Jecha Adai Maalim Seif Ni Mgombea Halali Na ZEC Haitambui Kujitoa Kwake

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, ameibuka tena na kutangaza kukamilika kwa matayarisho ya uchaguzi wa marejeo Machi 20, mwaka huu huku akikataa kutoa majina ya...

View Article

Bandari ya Tanga Yatakiwa Kurejesha Mita za Kupimia Mafuta

Serikali imetoa wiki moja kwa Mamlaka ya Usimamisi wa Bandari(TPA) mkoa wa Tanga kuhakikisha inarejesha tena matumizi ya mita ya kupimia mafuta (Flow Meters), kabla ya shehena ya meli ya mafuta kutia...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live