Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mobile Chipsets Parade at MWC 2016

Battery life, cameras and LTE will most likely dominate the smartphone design this year. The common perception about the Mobile World Congress (MWC) show in Barcelona, Spain is that it’s all about...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyabiashara ya Sukari Wamchokonoa Rais Magufuli…… Wapandisha Bei...

SASA ni wazi kwamba wafanyabiashara wa sukari nchini wameamua kuanzisha vita na Rais John Magufuli, kwa kuamua kuficha bidhaa hiyo na hivyo kuadimika katika soko na kupanda bei. Hatua hiyo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vurugu Kubwa Zaibuka Wakati wa Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

VURUGU kubwa zimetokea wakati wa Uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam mara baada ya uchaguzi huo kuhairishwa  tena kwa mara ya nne leo,huku Jeshi la Polisi likivamia ukumbi wa Karimjee na kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majambazi Dar es Salaam Yavamia Benki Ya Access….Yaua Mlinzi na Kupora Pesa,...

Majambazi  ambao  idadi  yao  haikufahamika  wakiwa  na  mabomu  na  bunduki  za  kisasa  jana  walivamia  Benki  ya  Access  tawi  la Mbagala  ambako  walipora  viroba vya   fedha, kuua  mlinzi  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akagua Bandari ya Mtwara na Kunusa Harufu ya...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua bandari ya Mtwara na kunusa harufu ya ufisadi katika utoaji wa zabuni ya ujenzi wa gati mpya tatu.   Waziri Mkuu ambaye alikagua eneo la ujenzi wa gati hizo jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Paul Makonda Aagiza Walimu wa Shule za Serikali Dar es salaam Wapande...

Moja ya jambo ambalo serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi makini wa Mheshimiwa John Pombe Magufuli imelifanya kuwa kipaumbele kikubwa kwenye mipango yake ya kimaendeleo ni suala la uboreshaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Zanzibar Kuwahoji Watu 34 Wanaotumia Lugha ya Matusi Katika Mitandao...

JESHI la Polisi Zanzibar limetoa tahadhari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii ambao wanaitumia kwa kuwatukana viongozi wa kitaifa, huku likiwa na orodha ya watu 34 ambao wanatarajiwa kuhojiwa zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kutua Jijini Mwanza Kesho Kutwa

WAKAZI wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake wametakiwa kujitokeza kwa wingi keshokutwa ili kumpokea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye anatarajiwa kuwasili jijini hapa akitokea jijini Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti Ya Polisi Kuhusu Tukio la Ujambazi Mbagala: Waliofariki Dunia ni Watu...

Ujambazi wa kutumia vifaa vya kivita umeibuka jijini Dar es Salaam, ukiwemo uliofanyika katika uporaji wa Benki ya Access juzi, ambako majambazi walitumia bunduki za kivita aina ya SMG na mabomu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt John Pombe Magufuli Awasili Arusha Kuongoza Mkutano Wa 17 Wa Kawaida...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Mkoani Arusha ambako pamoja na mambo mengine ataongoza Mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal

Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal Watu 24 wameuawa mjini Baidoa Kusini mwa Somalia wakitizama mechi baina ya Manchester United na Arsenal baada ya shambulizi lililotekelezwa na Al Shabab....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Kikwete azindua ligi ya mpira wa kikapu – Junior National Basket...

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Ligi ya Mpira wa Kikapu inayofahamika kama Junior National Basket Association...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi sita wa sekta ya afya wasimamishwa kwa ubadhirifu wa milioni 145

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Christopher Ngubiagai amewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana watumishi sita wa idara ya afya akiwemo Maimu Mganga Mkuu wa Wilaya Dk. Timoth Sumbe, kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari za Nje na Ndani ya Magazeti ya Leo 29feb2016 Jumatatu.

            [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNFPA yaitaja Tanzania kuwa moja ya nchi tatu zinazoongoza kwa ndoa za utotoni

Imeelezwa kuwa Tanzania ni moja ya nchi ambayo bado inakabiliwa na changamoto ya ndoa za utotoni ambazo husabishwa na mila potufu, elimu duni na umaskini unaopelekea wazazi kuwa na tamaa za kupata...

View Article


The Zero Scooter Is The Coolest Blend Of Vintage Scooter With Modern Tech

Spanish Design firm Bel & Bel have brought forth their creativity in making personal mobility interesting and fun. Their idea brings together the… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Twin Turbocharged BMW R100 From Boxer Metal

The technicalities, the complications and the whole idea of putting a turbo in a custom bike was just being absorbed, when Chris and Rebecca from… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article


Chris Labrooy’s New Art Explores Auto Elasticity Inspired By Japan

Chris Labrooy is a UK-based artist who has been exploring creativity with the idea of auto elasticity. His previous works on the same principle… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article

Jeshi la Polisi Zanzibar Latoa Ufafanuzi Kuhusu Madai ya CCM Kutaka Maalim...

Jeshi la Polisi Zanzibar limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa jeshi hilo linapanga kumkamata Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, CUF, Maalim Seif Sharif...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete: Nitaachia Uenyekiti wa CCM, Lakini Sitaacha Vikao vya Ndani CCM

Moja kati ya hoja zinazogonga vichwa vya baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mabadiliko ya Uenyekiti wa Chama hicho ambayo yatamuwezesha mzee wa Kutumbua Majipu, Rais John Magufuli...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live