Quantcast
Channel: Paul Joseph – AutomobileHeat
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa Rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bajeti ya Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar Yatengwa…….Kinachosubiriwa ni ZEC...

Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema bajeti ya uchaguzi wa marudio imeshatengwa na wanachosubiri ni Mwenyekiti wa Tume ya  Uhaguzi Zanzibar (ZEC) atangaze tarehe hiyo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Januari 3

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Shein afanya Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifanya mahojiano na waandishi wa Habari leo baada ya kumalizika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la...

View Article

Video Showcases The Beautiful Restoration Of An Aston Martin DB5

Restoring the Bond car. Classic cars are not for everyone. They are a love affair that require time, money and dedication. They are not for the… Visit the link above to read the full story. [via...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Passive vs. Active Components

As you have figured out by now, there are many different types of electronic components, and you must be familiar with all of these. They all act differently with reference to voltage, current,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Resonance / Black Magic 101.

Let us assume a circuit with a resistor, a capacitor and an inductor in series with each other. We will use small numbers here for simplicity. If the value of the resistor is 4 ohms, the value of the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RL and RC Time Constants.

Recall that in our lamp and cap circuit, the lamp lights up for a second, but then goes out. What determines how long the lamp stays lit? The lamp is not a perfect device which generates light from...

View Article


More about Coils and Caps

Remember series and parallel circuits? I know it’s been quite a while since we studied them, but it would do good to review a bit before we get too entangled in other stuff. Resistors Added in Series...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELI the ICE man

ELI the ICE man In a previous lesson, we covered the fact that two alternating currents can be either in phase, or out of phase with respect to each other. We also discussed the addition of two sine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Capacitor – a new component

So far, we have studied the effects of electricity flowing through wires, and have discussed resistors, coils, and metering devices. Both resistors and coils, as we have found, have a restricting...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maamuzi mapya ya Kocha wa Taifa Stars dhidi ya Mbwana Samatta siku mbili...

Siku mbili baada ya mshambuliaji kimataifa wa  Tanzania  anayekipiga katika klabu ya  TP Mazembe  ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  Mbwana Samatta  atangazwe na shirikisho la soka barani  Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga yaondolewa na URA ya Uganda nusu fainali, Alikiba jukwaani akishuhudia...

Saa chache baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016 kumalizika, kwa klabu ya  Mtibwa Sugar  ya Manungu Turiani kuibuka na ushindi wa goli 1-0 na kuweka rekodi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi 360 wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Wakamatwa Kwa Kufanyakazi...

Wafanyakazi zaidi ya 360 wa kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara, wamekamatwa kwa kufanya kazi nchini bila kuwa na vibali vya Uhamiaji. Kamatakamata hiyo imekuja baada ya agizo la Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utingo wa basi la Mohammed Trans afa katika ajali mkoani Singida

Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Simon Haule, akitoa taarifa ya ajali la basi la kampuni Mohammed Trans kuuwa utingo wake Abdallah Athumani  (35) mkazi wa Shinyanga mjini. BASI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lesson 51 – Filter Circuits

So far, we have discussed the basic electronic components, and power supply circuits. We have touched on filters, but not discussed them in detail. No course on electronics would be complete without a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pam D azindua Video yake ya Popo Lipopo Maisha Basement

Usiku wa kuamkia leo, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ kwa kushirikiana na mtayarishaji na mwanamuziki hatari Bongo, Mesen Selekta walikinukisha vya kutosha ndani ya Ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF: Uchaguzi unaweza kuzua vurugu Zanzibar

Chama cha CUF kimepinga hatua ya tume ya uchaguzi ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais Chama cha Wananchi (CUF) kimeonya kuwa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani Zanzibar kunaweza kusababisha vurugu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Al-Shabab wako ‘huru’ kushiriki soka Somalia

Wapiganaji wa Alshabaab Mkuu wa shirikisho la soka nchini Somalia amesema kuwa kundi la wapiganaji wa al-Shabab liko huru kushiriki katika ligi kuu ya soka nchini humo. Abdiqani Said Arab amemuambiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki David Bowie aaga dunia

David Bowie aaga dunia Mwimbaji maarufu David Bowie, ameaga dunia akiwa na umri miaka 69, baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa saratani. Mwanawe Duncan Jones amethibitisha kifo chake na kutoa...

View Article
Browsing all 2247 articles
Browse latest View live